Search results

  1. mwanaone

    Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

    Utahira wangu ni upo ndugu, kwani huwezi kumkosoa mtu mpaka umwite tahira. Huyo niliyemjibu alisema picha imeeditiwa akalaleta picha nyengine ambayo mimi binafsi sikukubaliana na yeye. Picha zote zilipigwa siku moja Lkn muda ( dakika) tofauti ndio maana picha ya kwanza ile ambayo wabunge...
  2. mwanaone

    Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

    Sasa mbona picha ya kwanza inaonyesha karatasi au file limefunguliwa na picha ya bavicha file au karatasi ikiwa haijafunguliwa au ikiwa moja.
  3. mwanaone

    Kwanini namuelewa Magufuli kwa Manji

    Ushuru wetu wa bidhaa za nje na magari yanayoingia huwa tunakokotoa kwa usd ( dollar) miaka miwili iliyopita $1=1600tz shilling Leo $1=2200tz shillings sasa Mimi huwa najiuliza tukiambiwa tumeongoza makusanyo ya kodi huwa sielewi. Tumeongeza makusanyo au hela yetu imeshuka thamani? Zimbabwe sasa...
  4. mwanaone

    Nakujibu mwanasheria Halima Mdee kama nilivyomjibu David Kafulila

    Umeua kwani Kama Mtu ameamua kuwa mkulima si atafute mwenyewe mbolea. Anayempinga magu na serikali Yake kwa maendeleo aliyoleta ni sawa na kumpinga Mungu. Magu oye Tena oye. jamani siku hizi nitajitahidi kujitia ujinga ili nisupport wana ccmMaana bila ujinga huwezi kuwa support ccm. Magu...
  5. mwanaone

    DAR: Mahakama Kuu yatupilia mbali maombi ya wabunge Viti Maalum 8 wa CUF

    Safi sana lazima Maalim na wenzake wajifunze kufanya maamuzi ya haraka. Katika Hili wa kulaumiwa ni Maalim seif. Hakusoma Alama za nyakati. Sasa nataka lipumba awafukuze wabunge wote wa CUF wa kuchaguliwa.
  6. mwanaone

    Rais Magufuli ni Rais pekee Afrika anayeweza kutembea na kuhutubia kwa muda mrefu

    Pia ni rais pekee mwenye akili kuliko wote duniani, pia ni rais pekee mwenye kujua kila kitu duniani, pia ni rais pekee alitumwa na Mungu kuja kuwanyoosha watanzania, pia ni rais pekee msema kweli "gaddafi ni rais wa irak " pia ni rais pekee mwenye busara, pia rais pekee mwenye roho nzuri...
  7. mwanaone

    Makinikia: Tukilipwa Mil.500 badala ya Trl. 425 kuna watu watashangilia

    Serikali ingesema tunawadai mpaka trillions 5 ,kidogo Ningejijaza ujinga wa wafuasi wa ccm nikakubali ni kweli tunawadai. Wazungu ni wezi na wana mikataba ya kinyonyaji lkn wanaiba kisheria hawaibi kipuuzi. Hukumu ya wazungu anayo Mungu lkn Ktk mahakama watatushinda.si kwa sababu wanajua sheria...
  8. mwanaone

    Mihimili ya Bunge na Serikali inapodhihiri kuivuruga CUF

    Basi Maalim yupo sahihi. Na Ikiwa atafanikiwa suala Hili basi arudie Tena kufanya hivi
  9. mwanaone

    Mihimili ya Bunge na Serikali inapodhihiri kuivuruga CUF

    Hata yote ametaka Maalim seif kwanini alikaa mwaka mzima Bila kuitisha mkutano Mkuu wa kuchagua Mwenyekiti? Sijawahi kuona uzembe wa aina Hii. Wacha cuf ijumifunze kufanya mambo ya kizembe.
  10. mwanaone

    Prof. Kabudi Kutumbuliwa Na Magufuli Baada Ya Barrick Kuondoka?

    Sifurahi tukikosa Lakini kuna mambo mengine hayaingii akilini .. trillion 425 ?? Kwa miaka 17 ( 2000-2017) ukijumlisha budget zetu zote hewa ambazo huwa Bunge linapitisha kila mwaka hazifiki jumla ya Hiyo hela trillion 425. Leo niunge mkono serikali na kubishana na watu wa nchi yangu na nchi za...
  11. mwanaone

    Inawezekana kabisa Wema akawa Ni karata Turufu ktk Siasa Karne Hii? Mnatutukana Watanzania Bure

    ikiwa rais wa nchi anamkaribisha mwanamke Kama wolper unashangaa nini kuhusu sumaye. Kuna watu wa ajabu nchi Hii wengine walipiga kura kwa magufuli kwa ajili ya push-ups zake tu.
  12. mwanaone

    Prof. Kabudi Kutumbuliwa Na Magufuli Baada Ya Barrick Kuondoka?

    Robo robo mbona una mahesabu makubwa hivyo. Trillion moja hatupati
  13. mwanaone

    Inawezekana kabisa Wema akawa Ni karata Turufu ktk Siasa Karne Hii? Mnatutukana Watanzania Bure

    Mimi sina akili hata moja na ndio maana nikapoteza muda wangu kukujibu Mtu mwenye akili Kama wewe. Lakini 2020 Nina haki ya kupiga kura Kama wewe mwenye PhD ya akili.
  14. mwanaone

    Inawezekana kabisa Wema akawa Ni karata Turufu ktk Siasa Karne Hii? Mnatutukana Watanzania Bure

    Ikifika wakati wa uchaguzi kila mtanzania mwenye umri wa miaka 18 ana sifa za kupiga kura. Sasa huyu wema ambaye kwako hana maana kwa kuwa kwa vipimo vyako hana akili ana wafuasi wake Kama milioni 2 ambao kwao wema ni shujaa na alipo wema wapo nyuma Yake . Na hao wafuasi wake akili zao ni Kama...
  15. mwanaone

    Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

    Ccm Wanawapa thamani wasanii wakati wa uchaguzi laki chadema tunawajali wakati wote.
  16. mwanaone

    Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

    Kumbuka kuwa Ktk kile watanzania wa nne mmoja ni mpumbavu Kama utafiti ulivyobaini kwahiyo Ktk watanzania milionin 40 tuna wapumbavu milioni 10. Kwahiyo wema akitupatia nusu ya kura za hawa milioni 10 mbona chadema ushindi ni Wetu.halafu Chadema ni chama cha kila mtanzania Bila kujali uwezo...
  17. mwanaone

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pia trillion 425 usd labda zile za Zimbabwe ndio acacia watalipa
Back
Top Bottom