Search results

  1. KWI KWI

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0 Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0 Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0 Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0 Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0 Zahanati CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1 Ifunda Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0...
  2. KWI KWI

    kina dada wafundeni wenzenu...!

    Ukikosa hata hiyo buku mbili.....unachukua ''ndimu/Limao'' unaikata katikati kipande kimoja unakisugulia kwapa moja na kingine vivyo ivyo...... unapotaka kuoga asubuhi harufu mbaya inaisha na majotro hayata kuwepo ''all day long''
  3. KWI KWI

    kina dada wafundeni wenzenu...!

    Nimeipenda hii..............kuna ukweli ndani yake 100% RR.
  4. KWI KWI

    Kiwanja Kipya Cha Burudani-Mbagala.

    ahahahahah nimecheka sana....JF Na style za kuyaandika majina ya watu.Ujumbe umefika.
  5. KWI KWI

    nashindwa kumuelewa.

    Nakubaliana na wewe 100% kisukari
  6. KWI KWI

    Unapenda nini Hapa duniani ?

    Kwenye RED...Naomba zingatia yafuatayo my dear Lizzy Kula ya kulazimishwa kweli?-Nenda kawaulize wasomali kule somalia.Inakuwa ya kulazimisha kwa wale wenye uwakika tu wa kesho atakula. Mavazi nayo watu wanapenda kweli?ndio maana kuna fasion na style kweli?-Nenda kijiji ''interiors'' singida...
  7. KWI KWI

    Unapenda nini Hapa duniani ?

    Katika ulivyo'ainisha hapo juu....lazima uweke tofauti kati ya ''human needs'' na ''human wants'' 1.Kula si kupenda.....ni ''necessity in life''-usipende kula uone unavyo''dhoofu'' 2.Pia, level of ''income and life style''-Kuvaa,mazoezi,kulewa,kuogelea kwa watu wengine si vitu vya...
  8. KWI KWI

    Help! My Wife Doesn’t Want Sex

    You two are ''nuts''.................ahahahahahhahaahhahha
  9. KWI KWI

    Help! My Wife Doesn’t Want Sex

    Hapo comm ni muhimu sana katika mahusiano...........my take.
  10. KWI KWI

    Help! My Wife Doesn’t Want Sex

    MUHIMU SOMENI YOTE WAPENDWA............MANENO MENGI YANATIA UVIVU BUT ''U WILL GRASP SOMETHING OUT FROM IT'' I agree with Dan Allendar when he says that, “Sex is volatile and it was meant to be.” For guys, when we are getting regular sex the world is as it should be and we are the...
  11. KWI KWI

    Mpenzi wangu hapati raha ya mapenzi kabisa, naombeni msaada wa contact za geno au wataalam wa matati

    Kijana ebu jaribu kutazama/kufikilia nje ya box....yale ambayo wewe unaona kinyaa kwenye mapenzi unaweza ukakuta ndio yeye anayapenda.....Jaribu kumwandaa kisaikolojia...wanawake wote regardless age na kipato uwa wanaishi kwa hisia.....tafuta muda mwingi wa kumwandaa usikimbilie tu....kale...
  12. KWI KWI

    X anataka kurudi...

    Kwa hili sitashangaa kuona huyo mwanamke analudi kwa jamaa yake...wewe akikuacha solemba.. Ujue kuna baadhi ya wanawake anaweza akawa na wewe ili kupooza moyo wake ama kumlipizia mwanaume wake aliyemfumania.... Pia anaweza akawa amekuja kwako just kwaajili ya Kuchukizwa na mwenzake(Boy),sasa...
  13. KWI KWI

    Ninadaiwa benki nne, BOA, CRDB, AKIBA, STANBIC BANK, naombeni msaada wenu

    Mkuu pole sana....mimi ninataaluma ya Bank.....nilishafanya kazi katika ma'bank makubwa hapa TZ na nje..... Kwa Jinsi Tanzania kiuchumi ilivyo.....kukopa Bank ni Hatari sana haswa pale unapotaka kuanzisha Biashara(Venture capital) Lakini kama unataka kukopa kwa kuongezea/kutanua bihashara ni...
  14. KWI KWI

    List ya recruitment agencies Tanzania

    Mkuu naomba uli'upload file(hiyo spreadsheet) hapa jukwaani....ili kila mtu anayehitaji alipakue..... E-mail address zetu wengine zina majina yetu(Hatupendi kujulikana)...... Asante...Be blessed.
  15. KWI KWI

    Huyu jaji wa sibuka ni mkamerun??

    Aahahahah nimecheka sana.....jamaa 100% ni punga.Nilikuwa natazama hapa(Nadhani ulikuwa unamaanisha TIKISA ITV)....wife wangu akawa ananiuliza jamaaa vipi mbona anaongea ka' punga?
  16. KWI KWI

    Maskini bajaji na boda boda

    Ahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye RED. DCM a.k.a ''Gobore'' haziwezi kuondolewa kabisa....the same way kwa hizo bajaj na Boda Boda.....ni kauli tu hizo bila actions.''Poor Sumatra''na mipango mibovu.....ivi kuna watu wanakaa na wanalipwa kwa kufanya maamuzi kama haya? Ningewaona wajanja...
  17. KWI KWI

    Hebu ona haya ya ndugu JK huko aliko sasa

    Hapo huo mstari umeniacha hoi.....dah.........kuishi kwingi kuona mengi......nimeuweka kwenye signature yangu......Asante sana Maandamano
  18. KWI KWI

    Kumbe humu JF wako mapedeshee

    Wastage_'my time kweli kweli kufungua hii thread na kuisoma...........utumbo mtupu period! Sijui unamaana gani?JF Umeiona mziki wa bolingo kutaja taja majina ya watu?
  19. KWI KWI

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Hapo kwenye RED....MR.DRY Naomba upigie mstari________________________________________________________
  20. KWI KWI

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Anzia kuwaambia hao wenye ma'blog yao ya kazi(Wanaoweka ma'link' tu........wamepewa nafasi bure ya kujitangaza kupitia JF ya bure wanatumia vibaya mbona sijaona ''thread'' ya hao wenye ma''blog'' hata ya kusema ''asante JF''.... Hata maelezo hawaweki,wanaweka kichwa cha habari''kazi...
Back
Top Bottom