Search results

  1. T

    Natufuta waimbaji wa kike

    Sawa jitahidi week hii tuonane ndio week ya usaili
  2. T

    Je una sherehe ya aina yoyote au una hotel au bar, club na unahitaji live band?

    Hatujaweka bei kutokana na sherehe inategemea mahali ilipo, idadi ya watu, masaa mangapi. hivyo kama unahitaji tuwasiliane
  3. T

    Je una sherehe ya aina yoyote au una hotel au bar, club na unahitaji live band?

    The joy band live music, ina kukaribisha na ipo tayari kuku hudumiya wewe kama una hotel, club, bar au sherehe ya aina yoyote kwa bei nafuu, tuna piga muziki wa aina yoyote: Zilipendwa, rhumba, jazz, country, chacha, charanga, salsa, bolingo, reggae n.k huku tukiwa live. Tuna patikana dar es...
  4. T

    Natafuta waimbaji wa kike wenye uzoefu

    Kama upo tayari nitafute tuongee mkataba ni makubaliano ya pande mbili
  5. T

    Natafuta waimbaji wa kike wenye uzoefu

    Habari wana JF. Mimi nina Bendi ya muziki na napiga muziki (live Band) kwenye ma Hotel. Natafuta waimbaji wa kike wawili kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye bendi. Bendi ipo Dar es salaam lakini wakati mweingine tuna enda kupiga mikoani hasa Arusha na Mwanza. Aliye tayari anipigie simu 0782555519...
  6. T

  7. T

    Nimependezewa na jamii forum

    Asanteni sana kwa wema wenu nadhani tutakuwa wote pamoja bega kwa bega katika kuendeleza JF.
  8. T

    Nimependezewa na jamii forum

    Hamjambo wana JF. Nimejiunga rasmi na Jamii forum baada ya kuipitia na kuona uzuri wake. Naomba niwe mmoja wenu katika hii forum. Asanteni TheJoy
Back
Top Bottom