Search results

  1. mxyo16

    Wahenga aged 49+ na six packs

    Nadhani nikujipanga aisee na mazoezi spesho, kupunguza weight ni kazi sana. Belly fat ni ishu. Hongereni mnaowezea. Hii Jumapili iliyopita nilibahatika kupita kiwanja kimoja cha mpira asubuhi...wengi wa wachezaji ni above 35, na wanauweza mpira...ila sasa vitambi dah.
  2. mxyo16

    Mike Tyson kasema kwamba alilawitiwa akiwa na umri wa miaka 7

    Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man. (Haijampa mapungufu kama mwanaume)
  3. mxyo16

    Katoto ka mbuzi, kamezaliwa na uso wa ''shetani!!??''

    Kwenyewe huko Argentina wamesema kamezaliwa na uso wa shetani "demon face" kalikufa baada ya masaa 3 kuzaliwa
  4. mxyo16

    Mamba akirudisha mwili wa mtu aliyemuua kwa amri ya mganga

    Huko Indonesia, jamaa alinaswa pembeni ya mto akiogelea na mamba huyo naakapotea nae,ndugu wamemtafuta wakaamua kumuita mganga. ambae alifanya vitu vyake na baadae watu wakashuhudia mamba anarudisha mtu wao (mfu) cc mshana jr . mamba huyu ni wa maji chumvi, Hawa mamba wa maji chumvi hufikia...
  5. mxyo16

    Hebu cheki dada wa kikenya alivyosifiwa na wazungu

    Best foot forward! Lupita Nyong'o stuns in shiny gold dress with thigh-length split at CFDA Awards Lupita Nyong'o showed off her flare for fashion Monday night in New York. The actress, 38, arrived for the CFDA Awards in a stunning gold dress with a sash at the neck and a thigh-high slit. The...
  6. mxyo16

    Hii sio kanda maalum, ni Ethiopia! Mwanamke kuomba kupigwa viboko kuonyesha upendo kwa mume

    Achana na wale ma-air hostess wa ethiopian airlines. Hawa pia ni waethiopia wa kabila la Hamar, na hii ya kuchapwa inaitwa Ukuli Bula. It might make sense, that some baes need a little beat up....
  7. mxyo16

    Tangu asubuhi leo mitandao ya simu(voda, airtel, tigo) Mwanza na internet havifanyi kazi, kunani?

    Au ni sababu za kiusalama. Mtuhabarishe wateja wenu, shuguli zetu za kujiingizia vipato zinakwama kutokana na hali hii. Si upande wetu tu walipa kodi, hata huyo mkusanya kodi pato litapungua.
  8. mxyo16

    Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

    Inasemekana kalipa mahari thanamani ya shilingi milion 4 kwa tz,
  9. mxyo16

    ZEBRA Crossing,

  10. mxyo16

    Kila nchi ni namba moja wa jambo gani, tazama Tanzania ni #1 kwa wafanyakazi wanawake

    Eti Pakistani wanaongoza kwa kutazama Gay Porn- Mitandaoni South africa wanaongoza kwa vifo
  11. mxyo16

    Kwawale mnaotaka kujua ukweli kuhusu multi level maketing, sikiliza facts za kitaalamu hapa

    ni ule mtindo wa kuuza bidhaa kama style ya forever, sikiliza hizi facts
  12. mxyo16

    Nyoka aibuka wakati ndege ipo angani...Pazuri hapo. Hakuna mawe wala fimbo

    Huwa kunawaoga, nadhani ndege lazima iliyumba
  13. mxyo16

    Nahitaji gari lakukodi 4wd Mwanza, na conference packages

    Kama unatoa hizo huduma nijulishe tuwasiliane. Kwa Huku kanda ya ziwa. asanteni
  14. mxyo16

    Jury US imeamuru alipwe $70m, Kwa kupata Kansa (ovarian cancer) sababu ya kutumia Johnson powder

    Inavyosemekana wanawake wengi hutumia poda au talc, na nguvu ya matangazo yanayowalenga hasa wanene, kupaka maeneo ya siri. Huyu mama alikua akitumia poda hiyo badae kaugua kansa na kuwashitaki Johnson & johnson baby powder. Wazee wa baraza (jury) wameamuru alipwe dola milioni 70 kama fidia. Ni...
  15. mxyo16

    Yashangaza kwakweli, Hata Mariah Carey kaachwa na mpenzi wake billionaire kwasasabu ya ku overspend

    Asa kama mabilionea pia wanashindwa ku handle mizinga.....kunakuchekana kweli hapa, dharau, kubezana...tunayo yashuhudia humu kwenye jamii yetu. Eti kuambiwa kama huna hela kaa pembeni. Hata mizinga iwe ina limits bana!! 'It's all over': James Packer 'DUMPS' fiancée Mariah Carey over...
  16. mxyo16

    Mtazame huyu comedian(Steve Colbert) ana joke kumpima Obama tezi dume,

    Icheki hadi mwisho video....ingawa ni swala la afya kwa wanaume ukishafikia umri kuanzia 40, hapa nadhani nia yao ni kuhamasisha upimaji. Ila sidhani kama huku kwetu anaweza kutokea comedian aka dare hiyo joke!!! Hahaha
  17. mxyo16

    Cheki mbunge akitetea hoja yake bungeni huku akinyonyesha mwanae

    Kunyonyesha hadharani kwa wenzetu weupe nadhani huonekana kama ndio sivyo, lakini kina mama weupe wamekua mstari wa mbele kupinga hali hiyo na hivyo wameamua kulishikia bango vizuri, mama ni mama bana nani hajanyonyeshwa kiasi aone aibu kumuona mama akinyonyesha!!!, niwachache nadhani. Yeye...
Back
Top Bottom