nyinyi ndo gamufai kabisaaa!bora ungali jadili hata mambo ya familia ningalikuona una maana.kuliko kujadili mpira wa uengereza na kuacha habar muhimu za kwenu.
kama amesomaadrasa na kujilipua asingali koment hapa angalikwisha jilipua.wewe ambaye umejifunza kanisani nahic itakuwa umejifunza ubakaji na kulawiti watoto ama sio?usiwe ignorant sawa? go to hell
Tuwe wawazi juu ya hili.UKAWA wao wenyewe hawapendi kuteuliwa kwa lowasa.sababu.
1:anakubalika licha ya kwamba anakashfa ya rudhwa
2:kuteuliwa kwake ni pigo kwa ukawa(kutoteuliwa kwake ni faida kwa ukawa)
masopakyindi
Kama unasikiliza vyombo vya habar nadhani umemsikia Obama anavyochukiwa na hali ya sasa jinsi ilivyokithiri na inakoelekea kubaya.amegusia mambo matatu ya msingi.UKANDA,UBAGUZI WA RANGI ,na UDINI .kitu kibaya zaidi hapa ni kumkumbatiwa muamerika kama mtetezi wa umasikini wa...
ni nchi ilee iliyojaa ustaarabu,ni nchi isiyo na mafisadi,ni nchi ambayo raia wake have not been poisoned by alcohol,ni nchi ambayo hakuna machangu i mean maprostitutes,ni nchi ambayo imezungukwa na urembo wa mahari ya hindi,ni nchi inayojumuisha vizazi vingi na vizazi mchanganyiko kama vile...
mdogo wangu usiwe na presha,lile jengo linaitwa jina la kipekee ambalo ni ikulu.na.wala sio msikiti au kanisa.kama hutaki rais muislamu pigia kura ukawa atakuwa ni dr.slaa.kwa upande wa ccm mgombea atatoka zabzibar tena atakuwa muislamu.hali ndo hiyo mkuu
KWELI JAMII FORUM IMEVAMIWA.KUNA UHUSIANO GANI KATI YA LUGHA NA MAENDELEO?WANGAPI WANAONGEA KIENGEREZA NA NI MASIKINI.KISWAHILI NI LUGHA nzuri zaid ya kichina ama kikorea.maendeleo ndio yanayokuza lugha na wala sio lugha inayokuza uchumi.usiwe mvivu wa kufikiria.
kwa upande wa misikitini sadaka ni ya tukio.mfano.umeme umemaliza watu wanapiga mchango,kuchimba shimo la.choo watu wanachangia sio kila siku kama dini nyengine kwamba ukienda msikitini utoe sadaka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.