Search results

  1. Ec mwakisopile

    Kama Muhimbili na Bandarini Kulikuwa na Changa la Macho, Zile Trilion 1.4 TRA jee ni Kweli?

    Serikali yaanza kulipa madeni link hio hapo chini :: Serikali Yaanza Kulipa Malimbikizo Ya Madeni Ya Walimu Na Zaidi Ya Shilingi Bilion 32 Tayari Zimetolewa
  2. Ec mwakisopile

    Jaji Mihayo: Rais Magufuli sio Dikteta

    Wewe una uhakika gani hana hoja ya msingi inayofanya asiunge mkono uchaguzi urudiwe? Hela za matumizi ni walizoomba toka bajeti iliyopitishwa na bunge mara ya mwisho kikao cha bajeti kilipo kaa bungeni, so bunge lilisha shirikishwa ni pesa zilikua hazijatolewa Kwani lazima wao na majaji...
  3. Ec mwakisopile

    Watanzania tusidanganywe hakuna kodi ya trilioni 1.4 iliyokusanywa

    Huu mwezi wamesema ni zaid ya trilion 1, nenda kwenye millardayo.com utaona hiyo habari
  4. Ec mwakisopile

    Watanzania tusidanganywe hakuna kodi ya trilioni 1.4 iliyokusanywa

    hizo pesa zinanunua madawa ambayo yanatumika kutibu wakulima huko kijijini akaweza kulima ukapata chakula, zimelipia ellimu ambayo itapunguza watu wasio na elimu tz na kuweza kupata ajira wakaja kukuibia mali zako na kifaa unachotumia ku post huku jamii forum
  5. Ec mwakisopile

    Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    katiba ndo inamteua, katiba ndo inasema atakua Amiri jeshi mkuu Na raisi akivaa hizo nguo zinaweza kuleta tatizo gani kwani?
  6. Ec mwakisopile

    Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    magamba yenye nyota ni ya wakati wa sherehe katiba inasema kutakua na raisi wa jamuhuri ya muungano Na raisi atakua amiri jeshi mkuu, mkuu wa serikali, na mkuu wa nchi kumuondoa uamiri jeshi mkuu inabidi utumie njia zinazotumika kumuondoa raisi,
  7. Ec mwakisopile

    Tunajisifu Kukusanya Trilioni 1.4 na Kujisahau Kukuza Uzalishaji

    mwezi disemba kurugenzi wa hazina alitoa taarifa kua wanapitia mikataba ya viwanda vyote vilivyopo kujua kama vinaendeshwa kama walivyokubaliana na serikali.. hiyo nayo ni hatua inaitwa ku asses situation kabla ya kuingia deep kwnye kutafuta ufumbuzi.. Tar 22 disema naibu waziri ofisi raisi...
  8. Ec mwakisopile

    TRA yavuka lengo, Yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi

    let us wait and see how it will turn up
  9. Ec mwakisopile

    TRA yavuka lengo, Yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi

    Tra imekusanya jumla ya trilion 1.4 mwezi disemba ambapo ni tofauti na kawaida ya makusanyo ya mwezi ambayo yalikua bilioni 900 kwa mwezi Hi ni sawa naongezeko la bilion 500 kaimu kamishna wa TRA Alphayo Kidata amesema imetokana na raisi Magufuli kubana wakwepa kodi, na mianya ya wa kwepa kodi...
  10. Ec mwakisopile

    Tanzania imeshakuwa kama jumba la sanaa kwa sasa

    hao watumishi wa TRA na TPA ndo wawataje hao wafanya biashara wakubwa na wenye makontena na watoe ushaidi wa kuweza kuwashika na kuwafungulia kesi za kuwalipisha kodi walizokwepa na faini juu hao wafanyabiashara wakubwa, bila wao kutoa ushirikiano au ushahidi kwa vyombo vya dola hutaweza mkamata...
  11. Ec mwakisopile

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Umeona video zingine alizokua anasema lowasa ni joshua asiyemtaka anywe malimao?
  12. Ec mwakisopile

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Ujue kulikua na mabadiliko mawili mabadiliko ya UKAWA na ya Magufuli.. Magufuli alikua na Magufuli 4 change.. so watu walikua na kazi kuchagua ni yapi waungane nayo ya Magufuli au ukawa.. so kuchagua yoyote yale uliyokua unayaamin ni ya kweli inamaana ulikua una ya amini ndo yenyewe amesema...
  13. Ec mwakisopile

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Mzee umeangalia video zote mbili?
  14. Ec mwakisopile

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Hahaha lete ushahid unao onyesha utajiri wake unafikia Trilion 5 tuzitaifishe
  15. Ec mwakisopile

    Hii ndiyo tofauti ya Kikwete na Magufuli

    Mkuu Uchambuzi mzuri, nilikua na wazo pia lakuleta uchambuzi kama huu, ila umeshaleta, vizuri sana mkuu, kilichobaki ni wao kunywa wakikataa ujinga wao
  16. Ec mwakisopile

    Magufuli msikilize huyu Mzungu!

    Mzee nimekuelewa
  17. Ec mwakisopile

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Kitu gani kinakufanya uamini ni makonda huyo? Embu tueleze tuelewe au tupe tangible evidence
  18. Ec mwakisopile

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Jamaa si kashasema sio Makonda ni msaidizi wa Ngowi, kwasababu ameongea nao wakamwelezea.. kwa hiyo gazeti kusema ni Makonda ni uongo, je kwenye hiyo picha unaweza thibitisha au gazeti kuthibitisha ni makonda anamfunga riz1 kamba? Hiyo ya pili ni makonda amembeba riz1 so what? Ni lazma na...
Back
Top Bottom