Search results

  1. D

    Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

    Dawa kuwapeleka mahakamani tu. Hapa nasubiri kwa hamu nione ndani ya huo mwezi kama wanatuhamisha kwa mwajili halali au la. Haiwezekani mtu unaenda Maternity Leave wanakunyima mshahara! Ukiomba likizo unapewa wiki mbili, siku zikipita mwaka zimepotea wakati sheria ya kazi inataka siku za likizo...
  2. D

    Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

    Unajiskiaje pale mwajili wako uliyemfanyia kazi kwa zaidi ya miaka mitatu anakukata hela yako ya NSSF, anapokurupuka na kukuandikia email kukuuliza kama una "NSSF number" na umtumie ASAP ndani ya wiki 2!??
  3. D

    Madudu mengine yatokea PPF yaani sehemu ya Shs. 200 Milioni... [Proof needed]

    Yaani kutokana na mahusiano mazuri kati ya PPF na Mtibwa, PPF wakaamua kuwalipa vibarua wa Mtibwa? Embu fafanua hapo, haya yalikua ni malipo ya pensheni au mishahara? Na hizi hela milioni 200 lilitolewa tu fungu kwa huyu meneja akagawe bila kua na list ya vibarua wanaotakiwa kulipwa?
  4. D

    PPF Yafilisika, Yauza mpaka maeneo yalitengwa kwa ajili ya misikiti na makanisa Kiseke Mwanza

    Maeneo ya ibada (Miskiti na Makanisa) yanaweza kuuzwa lakini si kwa tenda kama ambavyo PPF wanafanya! kwa mfano mimi nikiamua kununua kiwanja hicho kilichotengwa kwa ajili ya msikiti, nikaujenga inamaan utakua ni wa kwangu badala ya waumini! PPF walitakiwa waorganize na wakazi waliowauzia...
  5. D

    PPF Group Endowment Saga: THE FINAL REPORT

    hivi hawa wakurugenzi bado wako hapo PPF wanafanya kazi kama kawaida? PCCB mko wapi? nchi hii kweli wajinga ndo waliwao!
  6. D

    Msanii matata LULU na kashfa ya kuhongwa gari

    atasema nini zaidi ya kubisha kwamba sio yeye! scandal nyingine ngumu kupunch. Mi namlilia tu huyu mdogo wangu Eliza she is so young and immature alafu mijanaume haichelewi inatake advantage aaargh!
Back
Top Bottom