Search results

  1. NG'OMBE

    Rais Magufuli: Wanaopinga Serikali yangu ni 'Mawakala wa Shetani'

    Mabavu kama hukupiga kura wewe shauri yako nenda kagenge ukuta wa ugali wa dona
  2. NG'OMBE

    Natabiri: Vurugu kubwa kutokea Dodoma Julai 23 "Amini usiamini"

    wakiwakamata wasiwe wanawaachia kwa dhamana bali wawe wanawapa kipigo kiasi kwamba wakiachiwa wanakaa siku chache wanakufa.
  3. NG'OMBE

    Natabiri: Vurugu kubwa kutokea Dodoma Julai 23 "Amini usiamini"

    siku chma changu kikiwa na mkutano ndo nitaenda
  4. NG'OMBE

    Natabiri: Vurugu kubwa kutokea Dodoma Julai 23 "Amini usiamini"

    waende tu ili wawe kafara ya mafanikio ya viongozi wa chma kinachowatuma, maana viongozi wao wala hutawaona.
  5. NG'OMBE

    Natabiri: Vurugu kubwa kutokea Dodoma Julai 23 "Amini usiamini"

    wajiandikishe tu wakafe ili tupungue maana tumezidi mno, na wakifa wafe kweli maana watakuwa wamekufa kwa ujinga wao, mkutano siyo wako unaenda kufanya nini kama si kufanya vurugu, tena hawa wasiwakamate wawapige kwelikweli maana ni majambazi tu na wala siyo wanasiasa hawa.
  6. NG'OMBE

    Kuna tatizo kubwa sana CHADEMA linalozidi unaoitwa Udikteta wa Rais

    na itadumu mimlele kwa style ya mbowe na mbatia hakuna upinzani daima
  7. NG'OMBE

    Rais Magufuli ashangazwa na Mstahiki Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutohudhuria Biafra

    hivi ninyi humu kwnye jf ndiyo mnajiita wananchi mnasahau kuwa ninyi hamfiki hata 2% ya watanzania wote, aliyesema UKAWA wanapotea, kweli wanapotea tena si mbali sana.
  8. NG'OMBE

    RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

    fanyeni tu mnachotaka kufanya maana tumechoshwa na maneno yenu.
  9. NG'OMBE

    Rais Magufuli ashangazwa na Mstahiki Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutohudhuria Biafra

    kifo cha ukawa kipo mwezi wa nane Lipumba akirudi CUF, ingawa hadi sasa wameshachanganyikiwa mara naibu spika, oh mara magufuli ataleta machafuko, oh mara tutafanya tu mikutano, yaani hawana jipya tena hata ukiwangalia usoni wanapoongea wamepoteza matumaini kabisa. UKAWA mtu makini kabaki Tundu...
  10. NG'OMBE

    Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

    huna lolote, ya Zanzibar kawaeleze wa Zanzibari au kasome katika yao uielewe na siyo kuropoka humu, kila kinachofanyika kina sheria na taratibu zake, kama walishindwa kurekebisha katiba kwa kulewa posho za ubunge, leo uchaguzi unafika unasema tume siyo huru, na kuibadili kabla ya uchaguzi...
  11. NG'OMBE

    Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

    MTAHANGAIKA SANA LAKINI HAMTAWEZA KUFANYA LOLOTE, ENDELEENI KULA PESA ZA HUYO MZEE WENU WA MONDULI. ILA UONGOZI WA NCHI HII MSAHAHU KABISA. ENDELENI TU KUWA WAPINZANI ILI MHAMASISHE MAENDELEO SERIKALI INAPOSINZIA MNAIAMUSHA. NIWASHAURI KITU, FANYENI KITU MTAKUJA SUTWA NA WATOTO WENU KUWA MLIKUWA...
  12. NG'OMBE

    Matukio ya Rais Magufuli na timing za Lowassa

    Akafie mbali na ufisadi wake.
  13. NG'OMBE

    Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

    watanzania siyo wajinga, mjinga ni wewe mwenyewe.
  14. NG'OMBE

    Ipi ni bendera halisi ya CHADEMA kati ya hizi

    hivi kuna watu mnajiaminisha kabisa kuwa Lowassa atakuwa Rais? labda rais wa wafugaji.
  15. NG'OMBE

    Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

    Hao wote watakamatwa uzururaji jmosi na jpili yote watakuwa ndani wataachiwa jtatu jioni.
  16. NG'OMBE

    Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

    labda Rais wa wafugaji hapo sawa.
  17. NG'OMBE

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    mimi sijaiona naitaka niione.
  18. NG'OMBE

    CHADEMA: Lowassa mshindi kwa asilimia 61

    Kama kura zitapigwa kwenye mitandao ya kijamii Lowassa atashinda lakini kwenye masanduku ya kupigia kura yanayosambazwa kwa sasa, Lowassa hawezi kushinda kamwe, YATUNZENI MANENO HAYA TAREHE 27/10/2015 MNISUTE HAPA.
  19. NG'OMBE

    CHADEMA: Lowassa mshindi kwa asilimia 61

    Hakuna lolote hapo, mbowe ameshajua UKAWA wameshashindwa tayari labda nyie ndo hamjui
Back
Top Bottom