Wakuu kuna kale kajingle fulani ccm wanakatumia kwenye mikutano yao kanaimba hivi magufuli woyooooooooo mimi nakahitaji wakuu naomba msaada mnipatie wenye nacho
Kpnd anakuja kuniomba alinieleza kwa kutia huruma mpk kidume nkaona isiwe tabu wacha nimsaidie ndugu yangu baada ya wiki tu atanilipa ***** mpk miez 6 hmn kitu
If uchawi upo ningeua kila aliehusika na hilo tukio kwa uchawi tukachomwe wote tu mbingun [emoji48][emoji48][emoji48][emoji34][emoji34][emoji34][emoji24] hii dunia ukiwa mnyonge kwa kila kitu utaonewa tu kama huna nguvu wala pesa kuwa mchawi nakwambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.