Search results

  1. Wazo Langu

    Nani aliruhusu Hii picha ipigwe hadharani namna hii?

    Hiyo picha ina tatizo gani? Au umeamua kuwapromote kwa mtindo huu?
  2. Wazo Langu

    Watoto ni baraka au sadaka?

    Habari wanajamvi Kuna jambo nimekua nikisoma katika vyanzo mbalimbali. Kuhusu suala zima la watoto. 1. Je, watoto ni Baraka ama ni Sadaka? Hapa namaanisha ukizaa watoto wengi utakuwa na baraka nyingi kwamba kila mtoto anakuja na riziki yake wakiwa wengi utakuwa tajiri? Au ukizaa watoto wengi...
  3. Wazo Langu

    Nikimpata wangu (Kumbe naota)

    Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa. Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri. Weekend moja moja tunatoka sisi wawili tunaendesha gari tunaenda popote. Tunaenda tunaenda tunaendaaa hadi tukichoka...
  4. Wazo Langu

    Mahakama ya Rufaa ya Rwanda yaidhinisha kifungo ch a miaka 25 dhidi ya shujaa wa Hotel “Hotel Rwanda”

    Hivi huyo Kagame anawashindaje? Kwani hana hata mchepuko? Sema ndio vile kifo chake kinaweza sababisha vifo vingi zaidi.
  5. Wazo Langu

    Mbeya: Ashikiliwa na polisi kwa mauaji ya Mumewe

    Hii ndio inaitwa kugawana majengo ya Serikali. Kuna kipande cha video niliona mwanamke anabutuliwa anang'olewa nywele kabisa nikajiuliza hivi huyu hawezi kujitetea kabisa? Hata jiwe karibu hakuna ampasue nalo usoni? Kwenye kujitetea huishia pabaya ila poa tu.
  6. Wazo Langu

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Hapana. Ila kufanya shambulio kama alizofanya Hamza ni ugaidi. Rejea Sheria ya makosa ya ugaidi.
  7. Wazo Langu

    Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

    Kukosoa lugha ya kuongea? Hivi mtu akichapia kuongea Kiswahili hushikiwa bango kama hivi?
  8. Wazo Langu

    Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

    Nikionaga comments za hivi nahamasika kutafuta Pesa zaidi ili nisilazimishwe kuongea hiyo lugha ya Malkia. Kiingereza kimenishinda kabisa na Shahada yangu niliyoipambania kwa jasho na kamasi.
  9. Wazo Langu

    Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    Wewe unayejua ungeleta unachojua tujifunze. Kajitanabahisha ni nahodha wa majahazi. Wewe unaleta maswali ya darasani kama unamuuliza Mtafiti wa wa baharini.
  10. Wazo Langu

    Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Hivi ameongea nini cha maana? Mimi nimesikia tu anaongelea HAWA JAMAA , Mgonjwa na Jina la Mbowe.
  11. Wazo Langu

    Uchaguzi 2020 Kura za maoni Kyela ni kitendawili na zinashtua

    Jiulize haya Maswali kwanza. 1.Hao mawaziri wote walioshinda wameingia lini bungeni na wamekua mawaziri kwa kipindi gani? Halafu linganisha na muda alioingia Mwakyembe na muda aliotumika kama Wazidi na Naibu Waziri. 2. Muulize yeye Mwenyewe Mwakyembe, ana kipi cha kuelezea kama mafanikio kwa...
  12. Wazo Langu

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

    Si agombee Udiwani aje kupata u Meya? Ndicho kilichopo
  13. Wazo Langu

    Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

    Tukisema ukweli tunaambiwa wivu. Yani tusifie tu hata utopolo? Makabila, Jide, Mbosso na bi Khadija uwepo wenu ume
  14. Wazo Langu

    Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

    Tabia za mkikorofishana mnavamiana mwilini ni nini lakini? Kumchoma kabisa na kitu. Ila anaweza kuwa huru mbona Rhoda Daudi alimtia kisu Geoffrey na sasa anapeta mtaani na kutukana watu mitandaoni.
  15. Wazo Langu

    Uchaguzi 2020 GWAJIMA: Mgombea wa CCM anayeumiza vichwa vya Wapinzani

    Wanavyopokezana kama Wanakwaya.
Back
Top Bottom