Search results

  1. Chakochangu

    Naomba msaada wa nanmna ya kuondoa chumvi kwenye jagi la kuchemshia maji

    Naongezea hapa , hizo ndimu au limau si lazima ziwe fresh. Unaweza kutumia zile ambazo zimeshatumiwa kwenye matumizi mengine kama kwenye vitoweo, kachumbari na nyama choma. Yaani kinahitajika pale ni ile asidi iliyomo ndani ya hizo ndimu.
  2. Chakochangu

    Naomba msaada wa nanmna ya kuondoa chumvi kwenye jagi la kuchemshia maji

    Kama hana siki,atumie limau au ndimu ,akatekate vipande vidogo vidogo aviweke ndani ya jagi pamoja na maji achemshe. Baada ya hapo aache kama dakika kadhaa kuanzia nusu saa na kuendelea , halafu asafishe kwa brashi.
  3. Chakochangu

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

    Mheshimiwa Rais,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wana kazi ya kupangua wasaidizi huko Mikoani na Wilayani wiki hii.
  4. Chakochangu

    Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

    Tangu tangazo la awali mimi niliona liliandika utafanyika Dar Es Salaam siyo Dodoma.
  5. Chakochangu

    Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

    Tusubiri ,labda anaandaa mswada.
  6. Chakochangu

    Kuhusu walinzi wa Hayati Magufuli, Ombi kwako Rais Mama Samia Suluhu

    Rais hana walinzi wanne tu. Rais ana walinzi wengi sana, ukiangalia picha au video kwenye misafara na shughuli zaRaisi utaona.
  7. Chakochangu

    Nililoliona na Kushtushwa na hili ni mimi peke yangu au? Kuna nini kilikuwa Kimejificha au hakikuwa sawa?

    Upo sahihi. Mimi binafsi haya uliyoyaorodhesha ndiyo kitakuwa kipimo changu. Pia najipa miezi sita ya hiki kipimo ,ili nione mwanga.
  8. Chakochangu

    Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Oh! Tate nane! Huyo binti hilo parachichi ni Original au Genetics Modified Organic? Maana si la kitoto.
  9. Chakochangu

    Pasco unaijua nguvu ya Twitter?

    Ana Ungo mkononi, ana Ungo mkononi, Kupepeta ngao yake, ana Ungo mkononi, Yatachomwa makapi, yatachomwa makapi, Ngano kuwekwa Chanjani, yatachomwa makapi.
  10. Chakochangu

    Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

    ama kweli: Mbuzi mzee hapigi chafya bure. Uzee dawa. Wakongwe utawatambua kwa maandishi yao . Lugha imenyooka. Maneno yamekamilika.
  11. Chakochangu

    Unamkumbuka huyu mtoto?

    Mkuu umeleta maelezo marefu na picha za mtoto Hope aliyeokotwa Nigeria, unashindwaje kuleta maelezo a picha za mtoto wa Kihehe Penina wa hapa Pawaga Iringa? Kuwa na siku njema mkuu.
  12. Chakochangu

    Unamkumbuka huyu mtoto?

    Sasa mkongwe kama wewe unashindwaje kutoa maelezo unganishi yahusuyo Penina Maana hapa Penina yupoyupo tu hewani?
  13. Chakochangu

    NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu

    Jamaa kapiga kibiriti kichaka naona mijusi washaanza kutoka upande wa pili. Sasa ni hivi hilo chaka kadri linavyoendelea kuteketea, angalia kuna vichuguu vina mashimo na wengine mumsaidie kumwagia mafuta ya taa au petrol kwenye hayo mashimo ili Majoka makubwa yaliyojichimbia humo yatoke.
  14. Chakochangu

    Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

    Dah! Humtakii mema Sele.
  15. Chakochangu

    Wizara ya Utamaduni na Utalii: Nimeandika makala nzuri ya Morogoro, nimepigiwa simu na makampuni tisa ya utalii Arusha wakiuliza namna ya kufika

    Taratibu mkuu, Mimi pia natoka Mkoa wa Morogoro na wengine wengi tu humu, Lakini hatupo kama ndugu yetu huyu. 🏃🏻‍♂️🏃🏻‍♂️
  16. Chakochangu

    Wizara ya Utamaduni na Utalii: Nimeandika makala nzuri ya Morogoro, nimepigiwa simu na makampuni tisa ya utalii Arusha wakiuliza namna ya kufika

    Hata kuandika kwenyewe hajui. Sikatai hakuna aliye kamilika kwa asilimia mia,lakini huyu ndugu yenu hapana.
  17. Chakochangu

    Rais kawapa kitendawili Morogoro wakitegue

    Dah! Ama kweli Dunia tambara bovu.
Back
Top Bottom