Search results

  1. N

    Majina ya Kihaya na maana zake

    Aisee we jamaa ni bure kabisa, sasa majina Kama haya na ukabila wapi na wapi? Wewe huna Kabila au? Tanzania tuna mama ila hatuna ukabila Acha ushamba. Imenisaidia mimi nilikuwa natafuta jina la mtoto wa kiume na nimelipata we Nenda katumie ya kidhungu hakuna anayekukataza. Kwetu wengine...
  2. N

    Majina ya Kihaya na maana zake

    Asante sana nilikuwa natafuta jina la mtoto wa kiume imenisaidia sana. Barikiwa
  3. N

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Ukawa ndo habari ya mjini haibiwi mtu hapa
  4. N

    "Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

    Kaka umenigusa sana nimeshakaribia gombana na marafiki zangu juu ya Lulu, tumwache mahakama ifanye uchunguzi na naimani She is innocent kwani hajampa sumu labda katika kujiokoa ikawa vile. Mungu Atampigania kwani yeye ndo mpanga tarehe.
  5. N

    Jini mahaba ananipa mambo

    ahahaa umenickesha kweli ndugu yangu.
  6. N

    Majina ya Kihaya ya kike

    asante kuuliza mengine nimeyapata humu sikuwahi yasikia, nkijaliwa ntachagua moja, haya kuna Namala,Kokusima, kokuabwa, atugonza, ajuna, alituijuna, Kemilembe, shubila, keitesi, kalikwenda, mengine nkikumbumbuka hayo yetu kwetu.
Back
Top Bottom