Mkuu, umewahi kusoma habari za Hezekia? Kama maisha yako programmed huyo Hezekia angekufa kwa ugonjwa kabla ya wakati wake. Lakini alijua siri ya kurefusha maisha yake. Alimuomba Mungu kwa bidii na Mungu akamponya na kumuongezea miaka 15 zaidi ya kuishi. Ina maana angeacha kuomba angekufa...
Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo unaweza kujiongezea miaka au umri wa kuishi duniani:
1. Hakikisha unakula vyakula vyenye virutubisho...
Usisahau mkuu, huu uzi sio wa kumjadili T.B. Joshua. Main point ya hii thread ni kwamba ukiombewa na mtu yeyote ukapona, usitende dhambi tena ili lisikupate jambo lililo baya zaidi.
As for T.B. Joshua, kama una ushahidi kuwa ni nabii feki, au unamhesabu kuwa adui wa imani yako, bado hupaswi...
Vikinge? Sishangai kwakuwa shetani naye hufanya miujiza. Si unakumbuka wachawi/waganga wa Farao walivyoigiza miujiza aliyofanya Mungu kupitia kwa Musa?
If you just read the title, you will surely be misled.
Nmesema, Uki-enda(if you [decide to] go). Najua wapo wanaofikiria kwenda huko....Sijasema lazima uende.
Na ndani nimefafanua zaidi: "ukienda kwa...au mhubiri yeyote maarufu..."
Usinilishe maneno, ndugu. By the way, to read a title is not...
Hahaa. Sina ushirika na mwovu shetani. Nampinga kwa Jina la Yesu kila anaponijia.
Hivi wewe ndugu, tangu uzaliwe hujawahi sikia au kuona kiwete akipona kwa kuombewa? Hata yule kiwete aliyeambiwa na Petro simama uende, hujasoma habari zake?
Mdo 3:6
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala...
Sio kila ukiumwa. Ni hivi: kama umekuwa ukitenda dhambi, ukaugua, baadaye ukapona kwa muujiza(baada ya kuombewa), ili usipatwe tena na ugonjwa huo kwa viwango vya juu au kupatwa na jambo baya zaidi, zingatia vigezo/masharti aliyotoa Yesu: USITENDE DHAMBI TENA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.