Search results

  1. interface

    Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Hahahha vp umetembea uchi wa mnyama au ?
  2. interface

    Mahiga: Wanaofukuzwa Msumbiji ni wahamiaji haramu

    Ivi kuna wa moçambicano wangapi tanzania ambao hawana hati ? Naamini Ni zaidi wa watz waliopo Mozambique kwa wingi. Huyu waziri si mkweli juu ya hili
  3. interface

    Nanunua ngombe dume alienona kwa sh 40000 na mbuzi mkubwa kwa sh 7000 nipo mkoani morogoro

    Kawa mnao fahamu bei zake tuelezeni tafadhali. Kama pugu ng'ombe mkubwa Ni bei gani ?
  4. interface

    Audio: Kesi za Matumizi Kinyume na Maumbile zimekuwa nyingi hasa Zanzibar/Pwani

    Ni tatizo sana ila kwa bara naona waziri flani alisema kuna wale wanaume wa kwenye mitandao anawahitaji sijui iliishiyaje? Ni mbaya zaidi
  5. interface

    Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

    OK. Nimekufahamu. No esta na moda leo alikuwa nayo sharama. Tutafatilia
  6. interface

    Mtanzania akamatwa muda huu Msumbiji, apigwa pingu

    Kituo gani amekamatwa? Au na ww mgeni huku?
  7. interface

    Ushauri: Serikali ipeleke kikosi maalum Msumbiji kuokoa ndugu zetu

    Balozi wetu tunamshukuru sana kajitahidi sana mpaka kuweza kupewa Siku tano ili tuweze kutoka na pia yupo karibu sana na watanzania .kwa kweli tunamsifu sana
  8. interface

    Ushauri: Serikali ipeleke kikosi maalum Msumbiji kuokoa ndugu zetu

    Uliongee sana usilolijua.hapa ukitoa passport yako wanaichukua na kuichana kisha wanakupeleka kituoni ukifika pale wanakuuliza passport iko wapi so utasema nimewapa police walionikamata au sio?police anakataa anasema mm nimemshika hana passport na police akisema lolote ni kweli kama...
  9. interface

    Kibonde wa Clouds FM asema Africa hakuna tume huru ya uchaguzi

    Kwa mfano Tanzania na Zanzibar!!! Hahhahha duuuh ngoja nicheke tena hahhhahhah
  10. interface

    Takriban raia 132 wa Tanzania wanaoishi nchini Msumbiji wamefurushwa nchini humo

    Jamani jamani hali sio hali wilaya ya montepuez kuna JAMAA sasa ivi akitaka kunyanganywa gari lake na police lkn akawabia hii sitoi ni nimgaie muuza vocha kama mzaha tu JAMAA kampa kadi na funguo za gari yule muuza vocha na kumwambia nimekugaia gari iyo mbele ya police.oneni hali ilivyo nafikiri...
  11. interface

    Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Kwanza niseme kitu iyo habari IPO lkn IPO wilaya ya montepuez mkoa WA cabo delegado.pili Boda Boda hazijafungwa ila bars bara kuu ya kuelekea wilaya ile ndio kuna get I za police nyingi kuliko kawaida.tatu balozi tayari kafika na Jana Pemba na kuonana na uongozi WA serekali na baadhi ya...
  12. interface

    Makonda akosolewa na Tume ya kudhibiti Madawa ya kulevya

    Nafikiri tayari wamefanya upelelezi wao na wamebaini ndio sababu akatoa agizo
  13. interface

    Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Sababu ukweli unauma ndio ukaandika haya.aliyosema ni kweli na mfumo kristo ndio unaleta Matatizo mengi kwenye Taifa letu.pole sana
  14. interface

    Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Inatosha kama ana nia ya kuelewa hatorudia kuuliza.hhahaha big up saana
  15. interface

    Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Kwa maelezo hayo ata kama ni MTU WA aina gani ni lazima achoke akili .nazidi kufatulia Uzi wako
  16. interface

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nafasi ya sita kutoka hapo no mpaka tupate majeshi WA ECOWAS waliomtoa yahya James Gambia hhhhhahaha heko man u kwa kuzuiya kiwanja mpaka MWISHO WA msimu
Back
Top Bottom