Msikurupuke kujibu hoja ambazo hamziwezi na anaeanzisha hoja kama hizi aache kwani kuna vitu vya msingi vya kuzungumzia kuhusu Kikwete na Mbowe waulize watanzania aligaragazwa mtu hadi akaahirisha kugombea kwa kuona hawezi kumshinda kaja kikongwe nae chini anavunga eti wamenichakachua amesahau...
Tumieni akili katika mambo mnayofanya kesho mtamlinganisha ...............na................... wote binadam wanamapungufu yao jueni dk slaa elimu yake ni sheria za kanisa katoliki ambazo kwa watu wenye akili haziwezi kuingia akilini. ndio maana mambo ya kanisa yamemshinda wizi mtupu.
Naona una muono finyu na mawazo mgando Mufti kuzungumza maneno yale amefikiri kwa kina na anajua nini kinachoendelea sio wewe unaosubilia habari zilizopikwa na kuwa muumini wa hizo. kwa kifupi na ndio ukweli uliopo baadhi ya serikali zilizopita ziliukandamiza sana uislam na waislam kwa ujumla...
busara yazidi elimu kama huwezi kuanzisha hoja na kuitetea uache. huwezi kujenga hoja wala kuitetea huwezi kushangilia raia waliokua wanaishi maisha ya raha na starehe kuuwawa eti sababu wakoloni wakachukue mafuta nakuiendeleza dini yao ya kishetani, usishangilie kwa kuwakule libya watu...
kama uelewi kwa undani nini kinaendelea uliza kwanza sio kukurupukia vitu ka ushabiki usio na tija. elewa hakuna vita iliyokua ndogo. na kwa msimamo wa libya hii vita utaona impact yake hata wewe mwenye maisha magumu yatazidi kuwa magumu na utasingizia serikali ya awamu ya nne.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.