Search results

  1. Mc Kihiga

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi...

    Dah imenishika jamii kubwa hasa ya Kitanzania hasa wenye elimu ya kutosha wamekumbwa na jinamizi hili je, tufanye nini ili kuepukana na janga hili lenye kupumbaza akili ya wengi bila kujali thamani zao? Mc! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  2. Mc Kihiga

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nafikiri ni vyema kuchunguza zaidi ili uweze kufanikisha lengo kulinga na mtaji mdogo uliyo taja pia ukubwa wa mtaji hutengemea zaidi aina ya biashara na mazingira husika. Mc! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  3. Mc Kihiga

    MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

    Sahihi hilo ni lengo sahihi!!! Mc! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  4. Mc Kihiga

    Life!

    Dear Friends, The meaning of life is a philosophical question concerning the significance of life or existence in general. It can also be expressed in different forms, such as "Why are we here?", "What is life all about?", and "What is the purpose of existence?" It has been the subject of much...
  5. Mc Kihiga

    Hivi utaacha lini hiyo.................

    Tabia ya kujichua na sabuni!
  6. Mc Kihiga

    glasses for work!!

    Duh!! Mc!
  7. Mc Kihiga

    A riddle to keep you awake!

    Let's be arefull on answering those question. Mc!
  8. Mc Kihiga

    Don't abondon your dream

    I like it!!! Mc!
  9. Mc Kihiga

    Ten Top Reasons Computers Are Male

    Duh it is very everyfunny. Mc!
  10. Mc Kihiga

    Dawa ni moja tu!!!

    Kuna mwanafunzi mmoja alikua ni mpemzi sana wa masomo lakini tatizo likawa ni moja tu! Kuna jamaa mmoja alikua amemganda kishenzi kisa mpenzi wake wa long time dada ni mwanafunzi wa Sec school: Alitafuta sana kuachana nae lakini ujanja ukamwishia basi akaamua kumwambia Bibi yake maongezi yalikua...
  11. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Shukrani nilikuwa na hitaji kupata victim kama mimi ili nipate nguvu na sehemu ya kuanzia tafadhari naomba nipigie simu ili niweze kufikisha swala hili kwenye uongozi wa juu NBC kabla ya vyombo vya habari. 0787440809 Mc!
  12. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    This is uniqe style kuna mjanja kaingia NBC ni utapeli wa nguvu si mchezo. Mc!
  13. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Basi nikawaida yao!!! Mc!
  14. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Ni ushauri mzuri sana nitafuatilia alafu nitakujulisha kupitia safu hii hii! Mc!
  15. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Asante sana Mwana "jf" Mimi si kwamba risiti sikupata risiti nilipata ila inaonesha kuwa nimechukua laki moja na si themanini kama ilivyo {kiasi nilicho pokea} Asante sana kwa ushauri! Mc!
  16. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Asante nimeshapoa, Nashukuru kwa ushauri wako asante sana infuture nitatumia Samora branch ndiyo nilipo fungulia account. Mc!
  17. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Nashukuru sana Jomba, Zingatia mambo yafuatayo: i} Hakuna usibitisho wa kimaandi juu ya mapungufu hayo. ii}Natarajia kwenda hapo siku ambayo naenda Hospital ilikuepuka gharama zisizo za lazima kwani nitakua nimepiga ndege wawili kwa jiwe moja Hospital na NBC je, wataniamini vipi kwa kigezo gani...
  18. Mc Kihiga

    Nbc kinondoni wezi!!! {atm}

    Uko sahihi kabisa, risti imeonesha kiasi sahihi pesa imetoka pungufu je, hiyo Jumatatu nitadai kwa kumbukumbu gani? Ila nakubaliana na wewe kuwa huu ni mchezo mchafu umeanzishwa na Bank hii ili chain iliyo jipanga inufaike hakika kuna Watu ambao si waaminifu wanahusika kwahili! Mc!
  19. Mc Kihiga

    Success and Failure.

    So when your moods take a nose dive, don't do any thing just think! And wait! And of course fill your mind with prayer and postive thoughts. You will master your moods. And it will make the difference between success and failure. Believe Me! Mc!
  20. Mc Kihiga

    Never Argue with a Woman

    Inatoke kabisa I agree with you Novatus!!! Mc!
Back
Top Bottom