Si vizuri kuzidi kuchelewa Kama viongozi wa nchi za kiafrica wanavyofanya maana wengi wao ni Kama Gadafi kwa hiyo wanashindwa waanze vipi, hivyo tuache nchi za magharibi ziwasaidie wananchi wa Libya tuache longolongo.
Magazeti haya yanaisaidia serikali kupata habari za viongozi na watumishi wanaoihujumu, ebu Mh. Rais yachukulie magazeti kama vyombo vyako vya kukusaidia kuongoza, Nina uhakika ukitafuta mawazo ya watu Kama Jenerali Ulimwengu ambao si washauli maslahi tutafika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.