Search results

  1. NgumiJiwe

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    nimekupata mkuu
  2. NgumiJiwe

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    una ramani yake?nimechukua namba zako,nitaku check
  3. NgumiJiwe

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    nipe na mchanganuo wa hii nyumba
  4. NgumiJiwe

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    ok tufanye vyumba viwili viwe master,halafu viwili vingine self,choo public,kitchen,sitting room,dining,mpaka inafika hapo na gharama zako za ufundi jumla ni hiyo milion 42?ukisema ni zaidi maximum ni milioni ngapi? tukielewana kuna kazi nataka nikupe
  5. NgumiJiwe

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    hii ni vyumba vingapi vya kulala na mpaka inafikia hapa ni tshs ngapi pamoja na gharama zako za ufundi?
  6. NgumiJiwe

    Vijiwe vya kahawa /draft /bodaboda /karata ni makao ya watu wa TISS

    mkuu ni Dar au mkoani?ni connect na mimi mkuu,kizuri kula na nduguyo..
  7. NgumiJiwe

    Kwa mara ya kwanza Tanzania imeweza kuweka betri kwenye moyo wa mtoto, Asante Kikwete

    Hii ni minor operation tu,wala si complicated kama open heart surgery ile aliwahi kufanya Dr Masau.Kwa wenzetu hata mwanafunzi wa udaktari mwaka wa nne anaeza fanya.Masau was a talented cardiothoracic surgeon mkamfanyia figisu huku mkisema kuwa ethics zenu haziruhusu kujitangaza ,leo kwa hii...
  8. NgumiJiwe

    Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

    Mzee wangu alinisimulia siku hizo walikuwa wanavaa makatambuka,unga foleni,waganga hospitali ni wale walimaliza darasa la saba wakaenda crash program,viwanda hawizalishi kukidhi mahitaji kwa mfano nguo mpaka wakaamua kuruhusu mitumba,darasa la saba hakuna kufaulu bali kuchaguliwa..ni mengi...
  9. NgumiJiwe

    Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

    Hakuna povu hapa.Hii hoja ya kijinga,period.Nimetoa mifano hai ya hao watu wa arts/uchumi waliopata kuongoza hii nchi.Labda msaidie wewe kujibu.Wameifikisha wapi hii nchi kiuchumi na kimaendeleo?
  10. NgumiJiwe

    Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

    Huna hoja mkuu kajipange upya.Nyerere alisomea na uchumi Scotland,Kikwete alisoma uchumi UDSM-vipi Tanzania waliifikisha wapi kiuchumi na kimaendeleo?kama kuna fundi mchundo anafaa,wacha aongoze tuone nae atatufikisha wapi
  11. NgumiJiwe

    Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

    Hoja ya kijinga hii.Tanzania tangia imepata uhuru mpaka 2015 ilikuwa ikiongozwa na watu wa arts/uchumi,wameifikisha wapi hii nchi kiuchumi na kimaendeleo?Magufuli hajamaliza hata mwaka,ushaanza maneno. Waarab wala hata hawana muda wa kujua majina ya viongozi wa Tanzania,lakini mtanzania...
  12. NgumiJiwe

    Hahaha, eti Yamoto Band wanaimba matusi, Hivi mnamjua huyu?

    asante mkuu;sikuwa na habari kama huyu msichana alishafariki..nilikuwa namfahamu.dah..Mungu amrehemu
  13. NgumiJiwe

    This is Anfield

    mkuu ondoa 'is' kwenye signature yako ili isomeke 'the future belongs to...au badala ya belongs andika is belong ili isomeke 'the future is belong to....kama nimekosea nisahihishe manake na mimi lugha ya kiingereza nilijifunza kuanzia darasa la tatu mpaka form four tu,kwenye shule za serikali!
  14. NgumiJiwe

    Najuta kujifunza kuhonga msichana

    Muachie tu hiyo simu,be gentleman
  15. NgumiJiwe

    Daktari bingwa wa KCMC asotea mafao kwa miaka 10

    dah kweli udaktari bongo haulipi,yaani hana hata nauli ya kuja dar,kweli?
  16. NgumiJiwe

    Yupi ni mpenzi sahihi kumuoa?!

    kama dini yako inakuruhusu oa wote
  17. NgumiJiwe

    Message kwa waafrika wanaoishi Israel

    sijui kama umeielewa sawasawa hoja yangu.naomba urudie kunisoma.charity begins at home mkuu,kama umeshindwa kutengeneza kwako na kuanza kutangatanga kwenye majumba ya watu,hata kwenye familia ndugu watakusimanga na watakubagua.Kama baba ni wa hovyo,mvivu,mzembe,ombaomba na haijali familia...
  18. NgumiJiwe

    Message kwa waafrika wanaoishi Israel

    Waafrika wengi ubaguzi wanauona pale tu unapofanywa na caucasians au wa-asia kwa wa-afrika.Lakini muafrika akimbagua muafrika mwenzake au hata mzungu au muasia,ah ni poa tu.Hata hatuoni vile tunavyobaguana wenyewe kwa wenyewe.Tuukubali ukweli huu kwanza kabla hatujaanza kunyooshea vidole...
  19. NgumiJiwe

    Message kwa waafrika wanaoishi Israel

    wewe dunya una haki gani unazozijua zaidi ya kuandamana ili sheria ikuruhusu kugawa tako?mbona hujibu maswali yangu,vipi mama yako mshono wake wa fistula umeshapona,au bado anajinyea kupitia njia ya mkojo?
Back
Top Bottom