Search results

  1. genius

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna link hapa, odds kidogo, stake ndefu https://twitter.com/ZANIBO23/status/1692656232799088913?t=1ZN4xG2cWQCrTIg0xcvZeQ&s=19
  2. genius

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna link hapa, odds kidogo, stake ndefu https://twitter.com/ZANIBO23/status/1692656232799088913?t=1ZN4xG2cWQCrTIg0xcvZeQ&s=19
  3. genius

    Waziri Pindi Chana ana matatizo gani?

    LEADERSHIP 101: What is Flexible Leadership? The most effective leaders can connect with anyone. They are flexible in their own style, which makes the other person comfortable and able to contribute their best to the conversation or interaction. Well aware of the turbulence that is part of...
  4. genius

    Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

    Naunga mkono hoja hii. KIJENETIC inamaana kuna baadhi ya tabia ni za kurithi. Ni vema mtu akajitambua na kujitathmini, kuna watu wamerithi tabia za uvivu kutoka kwa babu na Bibi zao huko kizazi cha nyuma. Lazima mtu mzima ufike mahali ujitathmini na ukigundua kuna tabia umerithi Fanya kila...
  5. genius

    Mafuriko yafanya uharibifu mkubwa Afrika Kusini

    Huyu mtumishi wa Mungu alishakneshwa siku 11 zilizopita.
  6. genius

    Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

    Mh Bashiru nimemsikiliza naona ni kiongozi mahiri
  7. genius

    Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

    Tusiandikie mate na wino upo
  8. genius

    Askofu Gwajima akiri kupokea barua ya wito wa Kamati ya Maadili

    May God grant wisdom to our Leaders to make sound decisions
  9. genius

    Mfumo mpya wa namba za siri si salama

    Kwa usalama wa raia na mali zao mimi naona ni utaratibu mzuri. Utaratibu huu utazuia matukio mengi ya kiuharifu ikiwamo ya kuiba laini ya simu ya mtu na kuitumia kutekeleza matukio ya wizi.
  10. genius

    Nisamehewe kwa kusapoti kufukuzwa kwa vijana JKT

    MAAMUZI MAGUMU Naomba viongozi wetu wa jeshi na serikali wafanye maamuzi Magumu, tuwasaidie vijana hawa. Nikweli wamekosea. Naomba vijana hawa wafikiriwe na kusamehewa. Hili lifanywe Kama kumbukumbu ya kuheshimu maamuzi ya marehemu rais wetu mpendwa aliyeahidi kuwapa ajira. Macho ya kiroho...
  11. genius

    Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Kweli naamini kazi ya Uraisi ni ngumu sanaa. Nakuombea rais wangu Mungu akujalie imani na nguvu ya kuliongoza Taifa letu.
  12. genius

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Lakini inapaswa tuwaze mbali, kwa faida ya vizazi vijavyo
  13. genius

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Kati yao yupo atayefaa kuwa kiongozi wa nchi hii miaka ijayo!?
  14. genius

    Uchaguzi 2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

    Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano Tanzania iwe kama Ulaya. Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika...
Back
Top Bottom