Search results

  1. commonmwananchi

    Baada ya DP World kukamatia usukani Dar Port, Wakenya washikwa na kiwewe. Wajipanga kuchimba na kuongeza kina cha bandari ya Mombasa

    Wewe ni .pamne wa DP-WORLD hakuna mahali imetajwa huko kwenye andiko kuhusu DP-WORLD kuingia Dar Port kuwa ndio sababu ya wakenya kutaka kuongeza kina cha bandari ya Mombasa. Pia unapaswa kutambua kwamba Kina cha Bandari ya Dar es Salaam ni jitihada za uwekezaji wa awamu ya Tano na sio...
  2. commonmwananchi

    Ziara Ya Samia Imepwaya, ndio Sababu Mnafanya Mikutano Ya Ndani Kwenye Mahema!

    Sasa hivi kufukuxia teuzi no janga la kitaifa!
  3. commonmwananchi

    Ziara Ya Samia Imepwaya, ndio Sababu Mnafanya Mikutano Ya Ndani Kwenye Mahema!

    Kwa hiyo wewe unfamiliar hayo maigizo ya wenye njaa na ujinga kuendelea kutumika na wajanja wachache wa CCM.? Subirini 2025 mrapata majibu. Nchi hii imekwama kutokana na ujinga wenu kuendelea kuishi mkiwa mmeshikiwa akili.
  4. commonmwananchi

    Dkt. Biteko: Madini ya ruby yaliyoko Dubai wamiliki waliyapata miaka 11 iliyopita

    Huenda ndio sababu ya uteuzi huu ili kumziba kinywa Aachane na hii issue... $120 ni sawa na T/shs 240Bilioni.
  5. commonmwananchi

    Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

    Leo ndio nimeujua upumbavu wako vizuri.@faizafox. Sisi vijana wa zamani tulikuwa na kiswahili chetu miaka hiyo Malaya tulimuita Fox. Kama unadiriki kumuita Baba wa Taifa "mjinga"mtu ambaye ameacha heshima yake,ikienziwa kote Duniani. Huyu mama yenu anastahili kuitwa nani kwa anayoyafanya...
  6. commonmwananchi

    Je, kuna njama kuiuza TANESCO pia?

    Katika kipindi chote cha awamu ya Magufuli tuliusahau mgao wa Umeme nchini Tanzania. Wewe labda ulikuwa Burundi ukiwa umemkimbia Magufuli.
  7. commonmwananchi

    Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Kwa hali hii ni vema CCM ikapigwa kwa kutumia silaha zote zilizopo. Hivyo ni vema Lissu akaijulishe Dunia yale yaliyojificha ndani ya kilemba cha Bi mkubwa na serikali yake. Ikiwemo DP-WORLD na Loliondo gate! DP-WORLD
  8. commonmwananchi

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Fisadi ni yule anayetaka kuuza nchi yetu kwa Waarabu wa Dubai. Anayekaa kimya bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya ubadhirifu unaoendelea nchini. Mama Abdul na kundi lake. Hiyo imeenda!
  9. commonmwananchi

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Baba wa taifa hakusema tutetee ufisadi. Mnalitumia jina lake vibaya.nyinyi ni wavuruga ndio mnavuruga amani yetu.
  10. commonmwananchi

    Kihoja cha de-dollarization, Urusi katika mkwamo na maburungutu ya Rupee za India

    Kiuhalisia ni India ndiyo inapaswa kununa Mafuta ya Urusi kwa Ruble za Kirusi.
  11. commonmwananchi

    Sheria mpya ya Manunuzi ya vitu vya "mtumba" bila PPRA ni kupanua ubadhirifu

    Yaani hii nchi tunapelekwa kama vile hatujitambuwi.
  12. commonmwananchi

    Iringa: Uhamiaji wamfikisha Mahakamani kada wa CCM Michael Mlowe kwa kuishi nchini bila kibali

    Kwa hiyo baasa ya kuwatumikia kwenye usimamizi wa akaunti ya "kigogo14" Sasa ametupwa kama Ganda la ndizi eeh!
  13. commonmwananchi

    Tundu Lissu ataja wabunge wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha bei ya pamba

    Hapa Lissu anabugi kwa sababu Sisi kama taifa pamoja na wakulina. Tuna control Quality na Content. Sasa Lissu kabla ya kubwabwaja angetaja bei iliyoko Sokoni kwa sasa . Pia angetaja bei ya Pamba inayonunuliwa kwa nchi za jirani yetu na hapo ndio angeweza kuwa mkweli.otherwise anajishushia...
  14. commonmwananchi

    Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Kwamba mwenyekiti wa kijiji anatumia ladi feki au? Upofu wako ni wa hali ya juu na ninadhani wewe Dunia Tanzania unayoiishi ni tofauti na hii tunayoioshi sisi. Hujui hali halisi ya kinachoendelea kwa sasa. Deep world itageuka na kuwa Deep- CCM! Muda ni shahidi mzuri sana.
  15. commonmwananchi

    Dkt. Biteko: Madini ya ruby yaliyoko Dubai wamiliki waliyapata miaka 11 iliyopita

    https://www.jamiiforums.com/threads/dkt-biteko-madini-ya-ruby-yaliyoko-dubai-wamiliki-waliyapata-miaka-11-iliyopita.1976697/
  16. commonmwananchi

    Dkt. Biteko: Madini ya ruby yaliyoko Dubai wamiliki waliyapata miaka 11 iliyopita

    Kuna maswali mengi kuliko majibu juu ya kinachoendelea kwa sasa hapa Tanzania. Na sisi tumekaa kama tupo tupo tu. Eeh mola tuokowe na haya masaibu. Fanya jambo moja na Roho zetu zipone Amen.
  17. commonmwananchi

    Na hii ndiyo nguvu ya "TEC"!

    Nimeiangalia hiyo video vizuri na nimeshangaa kwamba je! Ni Samia huyuhuyu au ni mwingine? Anachokiongea kwenye hii clip mbele ya maaskofu ni tofauti kabisa na alichokiingea juzi kule Arusha!
  18. commonmwananchi

    Tulia na mambo ya Bandari

    Asiyetulia Akson Mwansasu... Speaker wa ovyo kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Back
Top Bottom