Search results

  1. J

    Kwa aliyetayari kuolewa mke wa pili

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma. Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake awe na umri kati ya miaka 23 - 28, kazi au biashara siyo kipaumbele, awe muislamu, asiwe ameolewa...
  2. J

    Ustaarabu, Makazi, Maendeleo na Maisha ya watanzania na watawala (machifu na watemi)

    England United Kingdom Dresdane German Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya. Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk. Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
  3. J

    Nahisi nina mtoto analelewa na baba mwingine

    Habari wakuu, Leo ngoja niwashirikishe jambo hili lililonitokea miaka kadhaa nyuma. Mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha 6 nikiwa katika kipindi cha kusubiria kujiunga na chuo nilikutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Nakumbuka tulikutana kwa bahati tu kwa maana nakumbuka ilikua siku ya...
  4. J

    Dodoma Mjini tu: Jiipatie huduma ya usafi wa majumbani

    Habari wakuu, Jipatie huduma mbali mbali za usafi wa majumbani kutoka kwa wafanya usafi wazoefu na waaminifu. Hii ni maalum kwa wakazi wa Dodoma mjini. Wasiliana nao kwa njia zilizo ktk kipeperushi chao kilichoambatanishwa.
  5. J

    mmbia anahitajika

    Habari wanajamvi. Natumai muwazima, namiliki biashara na hapo awali nilisajili Brela kama sole proprietor ila kutokana na malengo niliyokua nayo awali na ukuaji wa fursa nataka kuisajili kama limited company. kutokana na mchanganuo wa biashara nahitaji kuwa na mshirika ambaye atakua director...
  6. J

    Akili, Ujasiri - Mwanamke vs Mwanaume

    Habari wakuu Kutokana kwa uzoefu wangu naleta hoja hii Nimegundua wanawake wanauwezo mkubwa sana ki akili na kijasiri hasa ktk kutatua matatizo ya kijamii na hasa ya kifamilia. Nimekua mume na baba kwa muda kiasi huku nikishuhudia uwezo wa akili na ujasiri wa mke wangu kila siku. Ktk maisha...
  7. J

    Instagram sponsored Ads

    Habari wakuu Hivi kueka zile sponsored advertisements instagram inakuaje. Shukran
  8. J

    TFF Under 20 League

    Habari wanamichezo wenzangu Naangalia ufunguzi wa ligi ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 20, mechi ni kati ya Yanga na Kagera Kwa mshangao naona wachezahi wa timu zote umri umezidi yaani VIJEBA Je, huu udanganyifu wa umri wahusika hawajauona au ni lipi hasa lengo la haya mashindano?
  9. J

    Information Technology (IT) guy needed

    Habari za wakati Kijana mwenye uzoefu na ujuzi ktk maswala ya IT hasa ktk utengenezaji wa Mobile Applications, Website na USSD based platforms anahitajika hatokua muajiriwa ila ni partner au sehemu ya project husika itakayofanyiwa kazi yoyote aliyetayari tuwasiliane Email...
  10. J

    Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

    Habari za mida wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje. Kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na Tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na...
Back
Top Bottom