Search results

  1. S

    Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Ndugu wanaJF, Waziri John Magufuli alipokuwa akisoma bajeti ya Wizara yake alisema contractor wa barabara ya kutoka KIA kwenda Mererani amefukuzwa kutokana na utendaji mbovu. Hakuendelea na detail yeyote ile kuhusu huo mradi, huenda hakutaka watu wajue zaidi au yeye mwenyewe hajui...
  2. S

    Natafuta pump ya kumwagilia shamba at least 20hp

    Ndugu wana jf natafuta pump kwa ajili ya umwagiliaji. Iwe na uwezo wa kusukuma maji zaidi ya mita 700 kutoka mtoni, mwinuko wa shamba sio mkubwa sana ni mwinuko wa kawaida. Kwa mwenye nayo aniinbox private msg
  3. S

    Huyo msuluhishi anaetafutwa wa mpaka wa tz na malawi akishauri mpaka uwe ufukweni je?

    Nimeisikiliza hotuba ya rais wetu Mh.Jakaya M Kikwete, amejitahidi kutuelezea vizuri tatizo lililopo na lilipotokea. Ktk maelezo yake amesema tume ya pamoja ya TZ na Malawi ilishindwa kuafikiana kutokana na TZ kusisitiza mpaka uwe katikati ya Ziwa wakati wenzetu wa Malawi walisisitiza mpaka uwe...
Back
Top Bottom