Ni kweli usemalo. Ndio Maana nimesema kila jambo lazima uwe na elimu nalo. Lakini unaweza kujifanyia wewe mwenyewe tathmini na tafakari ya kina ulikuwa ni Nini kabla ya kuja duniani.
Kuna vinaovyonekana na visivyoonekana.ila uelewa unatofautiana. Lakini Mtu huyo anajua alitoka tumboni kwa mama yake. Na aliambiwa tu au kwa kuona mimba zilizomo matumboni mwa wamama . Upumbavu sio neno baya kama anaeambiwa mpumbavu anajua kuna Mahali anaemwambia hajui au hana elimu ya jambo Hilo.
Wewe Gujalati, acha kuweka maneno ambayo hayana msingi wowote kama huyui mali za waislam kaa kimya tu. Ni muislam gani ambae atakuchinja eti kisa mali zao. Wenyewe wanajua mali zao ni zipi ndo maana.
Yaani mambo hovyo sana sasa ni kuitwa mheshimiwa? Ama wabunge safari hii ni hovyo. Sasa walitoka halafu wameingia unashindwa kuelewa wamesamehe wafanye kazi au?
Kaka huu ndio ule mfumo kristo, ndio maana mapadre wamepinga sana. Basi kama kweli waislam mlitaka kadhi courts na wakristo wamewakatalia mnafanyaje? Kwani si ipo kura ya ndio au hapana tumieni. Otherwise fanyeni dua sana kwa Mwenyezimungu ndie bora wa mahakimu.
Wataweza wapi wanapinga tu mahakama isiwepo kwa chuki tu. Mbona kuna mkristo kasema katiba isiweke siku ya jumapili kwa ajili ya uchaguzi maana ina bughudhi wakristo kwenye ibada,je umesikia muislam gani kapinga. Wanajidanganya sana hawa majinuni na wao waseme mahakama zao zijadiliwe na kama...
Mimi dhana yangu ni tofauti sana kwani mahakama si itahukumu waislam kwa baadhi ya mambo yakiwemo mirathi,ndoa,wakfu. Haki ni kuiweka kwenye katiba. Ila kutoiweka ni kuendeleza ile dhana ya mfumo kristo na hata wapingao ni wakisto
Wewe nicholas ni -------- hujui hata dini yako. Na kama ungejua ungejiuliza mbona wazungu ndio wameeneza ukristo na yesu hakuwa mzungu.
Allah ameumba makabila tofauti si kwa lengo jingine ila mpate kujuana. Mwenyezimungu ni mkubwa anaweza kila kitu.
Mtume alikuwa mwarabu sasa ulitaka iweje...
Nimekuelewa mkuu ila kuna mijamaa badala ya kujadili nakuweka mawazo chanya inakimbilia matusi bila ujuzi wa mambo. Nadhani hapo suala ni uso uonekane na wala sio kupiga marufuku hilo vazi la stara kwa mwanamke.
Hakuna neno na imeruhusiwa uso kuonekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.