Search results

  1. mathmartboy

    Natafuta Friji (used)

    Natafuta fliji ya lakimoja mwenyenalo anijulishe
  2. mathmartboy

    Msaada kutoona hedhi

    Sababu zinazopelekea mwanamke asione siku zake /bleed ukiachana na mimba ni zipi nyingine msaada jamani
  3. mathmartboy

    Inawezekana kumpa mimba mwanamke endapo utakuna naye siku moja kabla ya hedhi au ya tano baada?

    Jaman naombeni msaada ,eti kunauwezekano wakumpa mimba Mdada endapo utakutana nae sikumoja kabla ya kuona hedhi . Au siku ya tano baada ya kubleed .
  4. mathmartboy

    Naombeni ushauri

    Naombeni ushaur nduguzangu ,namtaji Wa shling million moja na lakin tano .eti nifanye biashara gani mjini hapa mm nipo dar
Back
Top Bottom