Search results

  1. K

    Nalia na bunge

    Napendekeza mishahara na marupurupu ya wabunge viangaliwe upya kwani vinatengeneza tofauti kubwa kati ya wabunge na wananchi wanaowakilishwa. Usibishe. Tunawaona wabunge wanavyotesa mitaani: migari ya nguvu, hoteli wanazofikia, magari wanayowanunulia marafiki, na orodha inaendelea. Mbele ya...
  2. K

    Hii sentensi ipo sahihi au huwa tunakosea??

    Kiswahili sanifu ni "nadhani" na sio "nazani"
  3. K

    Je hii ni sahihi? Naomba msaada!

    "Alikwendaga" ni kosa la kisarufi lililozoeleka. Usahihi ni "alikuwa akienda". Huu ni wakati uliopita katika hali isiyodhihirika. Uulizapo "bei gani?", unapenda kufahamu inauzwa kwa kiasi gani cha fedha, na uulizapo "kiasi gani?", unapenda kufahamu ina ujazo au uzito gani.
Back
Top Bottom