Search results

  1. florence

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Pole sana Natamani kufahamu Kwa hiyo uko straight na unaweza muatend vizur girl friend wako? Na huyo guy mwengine yupo straight pia?
  2. florence

    Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

    Nyie hamuudhi kwani! Mnakera sana kujiona hamkosei ila mnakosewa tuu. Huyo mkurya ni mwanaume kamili
  3. florence

    Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Jamani wewe Ungenipa hiyo hela mtaji
  4. florence

    "The code of civilization", ambayo ikivunjwa Dunia haitakalika tena.

    Funguka zaidi mkuu am interested
  5. florence

    Unamfahamuje wife material?

    No 2 ngumu sana kama akiwa na vigezo no 1 na 4hahahha
  6. florence

    Upotoshaji kuhusu mizimu

    🤣🤣🤣🤣mecheka sanaa
  7. florence

    Stop dating mentally broke girls

    wapo wengi tuu
  8. florence

    Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

    Linatibika vizur tuu mtu akifanikiwa kuonana na gyno mzur
  9. florence

    Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

    Harufu inatoka kwenye maumbile ya uzazi kwa ndani ambako.kumeathirika kwa bakteria au fangas na kumekuwa sugu. Ni sawa na yule anaenuka mdomo hata apige mswaki utanuka tuu
  10. florence

    Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

    Tunawaza pamoja hata mie nafikiri Kuna Hali kama hi
  11. florence

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Ais Aisee nipatie no yako tajiri unipatie hako ka Camry Mana nimechoka kutembea kama mfugo
  12. florence

    Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

    woow mimi nu Aquarius leo nimepata handsome hapa. hahaaaaa
  13. florence

    Dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho

    Mkuu Mshana huna group ya whatsap 😊
  14. florence

    Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

    Write your reply... Woow nimefurahi sana leo. Ubarikiwe kamanda kazi nzuri mnoo umenifungua pakubwa. Huwa najiuliza huyu Da Vinci ni nani na huo Mchoro wa Monalisa unamaana gani sasa ulipo gusia kuuelezea nimejisikia faraja
  15. florence

    Hii ndiyo nguvu kubwa iliyopo ndani yako na jinsi unavyoweza kuitumia kufanya miujiza

    Write your reply... Navipataje hivi vitabu?je ni vya kiswahili
  16. florence

    The Real Hidden World

    FUNGUKA MKUU TOA KAMWANGA KIDOGO MPAKA TUPATE HIVYO VITABU SI LEO. CHONDE CHONDE KAMANDA
Back
Top Bottom