Search results

  1. bonga basiri

    Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

    Wanabadilishana simu ni ile ile hawana lolote hao
  2. bonga basiri

    Dr. Mwakyembe: Marufuku TV na Radio kusoma habari za magazetini kwa ujumla wake

    Wazo butu sawa na kununua mbuzi kwenye gunia! Navyo wajua wandishi wa habari wetu wa bongo walivyo wavivu kufuatilia masuala katika chimbuko lake na mwisho wanaishia kuandika vichwa vya habar vyenye kuvutia kumbe ndani pumba Unakuta story haieleweki halafu ni nje kabsa na mada andikwa pale juu
  3. bonga basiri

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Nachokiona kati ya jpm na RC ni vita kati ya upinzani na serikali ya jpm hicho ndicho kinampa kiburi mhe. Rc maana mkuu wa nchi hawezi kuchukua hatua japokuwa rc kaharibu ili mradi tuu awakomoe wapinzani wake
  4. bonga basiri

    Serikali yatoa rai kwa watanzania kununua hisa za Vodacom

    Nilianza kuogopa tena nilipo ona neno RAI nikajua kutakuwa na uhuni kumbe sawia
  5. bonga basiri

    Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    Asantee kila mtu ale mshahara wakee
  6. bonga basiri

    Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Asante tunasubiri na viongoz wengne wafanye hivyo
  7. bonga basiri

    Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

    Nawala siri moja katika mafuta Mafta yana tabia ya kusinyaa na kutanuka Wakati wa joto mafta hutanuaka na wakati wa baridi mafta husinyaa Hivyo basi kwa ww unaetaka kununua mafta nakushauri nenda sheli wakati joto limepungua yaani ucku Kwahyo unaweza kupima mafta kwenye joto ukaona...
  8. bonga basiri

    CHADEMA Temeke wamfukuza uanachama Diwani wa Kurasini Bw. Matiti Togocho

    Huenda coz anafanafana na mambo hizo ingawa alisha nisaidia pakubwa
  9. bonga basiri

    Kesi ya zombe, Bageni akiri kudanganya tume

    Hayo ndiyo yanayo fanyika jaman kwa vyombo vyetu vya usalama
  10. bonga basiri

    Watanzania waliokuwa wametekwa Congo waokolewa

    Jamani nataka kujua suala madereva walio tekwa nyara huko congo na mai mai wamesha achiliwa na kama wameachiwa nn kitaendea juu ya kundi hilo?? By Mzalendo
  11. bonga basiri

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Asante kama ni kweli ntafuatilia hizo dawa zinako patikana maana nasumbuliwa sanaa na tatzo hili
  12. bonga basiri

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Pesa za kodi hukatwa kutokana na mapato yako "pay as you earn" hiyo hairudishwi baada ya kuacha kazi lakin makato ya ppf na nssf ile ni akiba yako ya badae lazima irudishwe baada ya kuacha kazi
  13. bonga basiri

    I am looking for my MICKEY!

    Call me plse
Back
Top Bottom