Search results

  1. S

    Bei ya ufuta mwaka huu ni majanga

    Sio kweli, ufuta wa dodoma haujawahi kuuzwa sio tu 3500 hata 2500 haujawahi kufika....
  2. S

    Kilimo cha mbaazi, natafuta mbegu

    Wasiliana na taasis ya amsha institute iliyopo kilwa, wanaweza kukuelekeza vizur pa kuzipata, pia taasis ya Naliendele mtwara...Amsha Institute wanapatikana twitter kwa jina hilo la amsha institute so wafollow
  3. S

    PICHA: Waziri wa Ujenzi, Makame Mbarawa akishangaa nyumba iliyojengwa Juu ya Reli

    Hivi ushajiuliza kwanini huyu mtu nae akiwa na akili timamu ajenge sehem ambayo inapita reli?..wewe ungeweza kufanya hivyo? Inahitaji mjumbe au duwani au mbunge au wazir au rais akwambie kwamba haifai kujenga kwenye njia ya reli?...nini faida ya kua mtu mzima mwenye akili timamu kama mpaka...
  4. S

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    waliodai au kutuhumu kua lowasa ni fisadi,ni chadema katika ile list of shame, so kama ccm wameshindwa kumpeleka mahakaman then ni wakat muafaka sasa cdm wakipata dola kupeleka mafisadi wote mahakaman akiwemo lowasa.Labda sasa cdm watuambie list ile ya mwembe yanga ilikua sio ya kweli
  5. S

    Naomba ushauri kisheria!

    shahid anaweza kulazimishwa kufika mahakaman na ni jinai kukataa wito wa mahakama...nenda mahakaman na eleza hicho ulichoeleza hapa kua ndio unachokijua, usiseme tu uongo.
  6. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    una kichwa kizito wewe mpaka kero,..hoja ipo hivi..."sukari feki" inasafirishwa na anayesimamia hilo ni CEO...hivi kweli katika hali ya kawaida na busara ya kawaida kweli angeenda yy mwenyewe?...sasa hili kulijibu kwake inategemea na mtoa jibu ana akili ya namna gani, akili ndogo kabisa ndio...
  7. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    kwahiyo na ww una interest na Nipashe?!..acha mawazo rahis,..hajalaumu nipashe kwa kufungia kiwanda ila ameonesha uzush wa nipashe, aliyesema tpi hawakutengeneza dawa ila vifungashio vyao tu vilitumika ni wazir wa afya na amesemea bungen,.
  8. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    kama wewe mi mate inavyokutoka kumsema mtoa mada badala ya kujibu hoja, sijui umelipwa kiasi gani?
  9. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    hizo documents ndizo alizokua anazizngumzia dr mwinyi kua serikali inajua kua dawa haikutoka tpi?
  10. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    kwa mfano akisema anafaham kua tpi waliwahi kuagiza sukar tani 15 huon kua muandishi atakua amesema uongo kuandika tani 100?..hiyo ndio point yake kwamba muandish alitakiwa kusema kiwango halis na kama alikua hakijui ingetosha kwake kuataja sukar tu bila kiwango, ila kwasbb ametumwa basi...
  11. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    hajatumia nafas yake kwa maslah yake, ni hivi, kilichoandikwa na nipashe ni uzushi na uongo, alichokifanya madabida ni kusema ukweli na ukweli wenyewe nunasaidia taifa kujua kua baadh ya watendaji tfda wanaua viwanda vya ndan ambavyo vilikua vinasaidia upatikanaj wa dawa kwa maslah yao, kusema...
  12. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    wewe sasa ndio unajichanganya maana kuitetea serekali maana yake ni kusema ukweli, tfda wanaua viwanda vya ndani ili wapate 10% kwenye uagizaji dawa nje ya nchi, huu ni ukweli na kuusema ni kusaidia serekali, au ww unadhan kusaidia serekali ni kusema uongo?
  13. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    ingekua vizur ungeanza kwanza kuonyesha kua ARV zinatumia sukar kwenye utengenezaji wake ili uonyeshe kua unaaamin baada ya kuelewa lkn kama hujui kama sukar inatumika au la hukua na sababu ya kuuliza swali hili, hata hivyo ushajibiwa na mleta mada
  14. S

    Kwa hili la kina Madabida na TPI, Nipashe wamechemka na ukweli wazushi

    ipo rahisi huyu ni mtanzania ana haki ya kuandika anachokijua si lazima awe na maslah yyt, kama anachokiandika ni kweli basi hakuna tatizo na maswali yako hayana mashiko...acha kufikiria kwa miwan ya bluu, iruhusu akili yako kufanya kazi
  15. S

    Wasiwasi wangu juu ya Itikadi za vyama dhidi ya ujenzi wa Taifa

    nakuunga mkono hoja yako kwa asilimia 100
  16. S

    Mbowe: Ni marufuku kufukuza wanachama ovyo

    ila ccm wakivumiliana tafsir inabadilika inakua wanalindana kwa cdm sawa sawa...duh kweli ukipenda boga penda na ua lake...
  17. S

    Rais wetu anatoa wapi pesa za kuwapa wasanii?

    anapata kutoka kwa baba yako
  18. S

    JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

    ww ndio kilaza maana hata hujui profesa ni mtu wa aina gani, kwa fikra zako uprofesa ni cheo cha kielimu, ----- ww baki hivyo hivyo
Back
Top Bottom