Search results

  1. K

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Moshi usafi haujaanza Jana we kijana Usafi ni asil ya watu wa Moshi
  2. K

    Elections 2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

    Jiji la Mbeya lina kata 36.... Chadema wana kata 26,Ccm wana kata 9 kata moja haikufanya uchaguzi
  3. K

    Bendera za CCM zaiteka Arusha

    Niko Arusha mbona sizioni
  4. K

    Mbeya: Msafara wa Sugu washambuliwa kwa mawe; Dereva wake aumizwa

    Ukweli ni huu Sugu alikuwa ana kwenda kwenye kampeni kata ya Nshoho.. Wakati akipipita kwa bahati mbaya kwenye hiyo barabara kulikuwa na kampeni za Ccm kwenye kata vya Ghana, kwa bahat mbaya Ccm na Cdm hawakutumia busara ktk hili... Cdm walikuwa na uwezo Wa kupita njia nyingine... Lakini nao...
  5. K

    Jan 7 unabii katika nchi ya Tanzania 2015

    Lowassa ndiye chaguo la Mungu
  6. K

    Majina ya mapacha yanayoanzia na M

    Salaam ndugu na jamaa zangu, Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume. Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.
  7. K

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Sikukuu ya mashujaa Mbowe anahusika vp?
  8. K

    Watumishi wote wa umma waliotia nia kuondolewa katika Payroll ya Serikali Julai 2015

    Nafikiri ni kwa ubunge na urais siyo udiwani
  9. K

    Tunduma Twende Na Mwakajoka

    Twende na Emmanuel Nkwamu
  10. K

    UVCCM yawasha moto Mbeya mjini

    Wakati fulani tutumie na akili zetu.Katika jiji la Mbeya lenye mitaa 181 hakuna mtaa unaitwa MPUGUSO...hizo picha kapiga Ushirika kilomita 90 toka Mbeya mjini na mnasema hizo ni Mbeya Mjini?WANA CCM MKOJE? Huyo mnayemwita Kajuna.alianzisha ligi KAJUNA CUP.kwenye viwanja vya S/M Mbata ameshindwa...
  11. K

    Mgomo wa wafanyabiashara kesho

    Huu ni ukweli kabisa.kwa wafanyabiashara kesho ni sabato
  12. K

    Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    Afadhali imetokea Dodoma,ingetokea Mbeya,Arusha,Mwanza yangekuwa mengine hapa
  13. K

    Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

    Mbeya ya 20 05-2010 siyo hii,watu wanaweza kupinga lakini ukweli ndiyo huo.....
  14. K

    Wabunge wa NCCR 1995

    Pollisya Sikumbula Mwaiseje -Mbeya Mjini
  15. K

    28 February 2015 harusi yangu

    Njoo bibie. Nafasi ipo
  16. K

    28 February 2015 harusi yangu

    Alifanyaje luckyline
  17. K

    28 February 2015 harusi yangu

    Karibu sana.
Back
Top Bottom