Search results

  1. Dodo18

    Kuoa ni lazima?

    Ndoa ni makubaliano kati yako na rafiki yako au mpenzi wako. Mfano mzuri ni kwa Adam na Hawa sidhani kama walienda kanisani au msikitini kufunga ndoa ila mungu tu kuwawakutanisha pamoja ni tayari walishakua wamekubaliana kuishi mpaka kufa pamoja
  2. Dodo18

    Kuoa ni lazima?

    Mimi ni muslamu ila hiki kipengele huwa nakuaga na mashaka nayo
  3. Dodo18

    Kuoa ni lazima?

    Fafanua
  4. Dodo18

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone 6s for sale. Ina 128gb internal storage. Price ni 250,000. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwenye hii number. 0712220207
  5. Dodo18

    Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Hii ndio point. Nachoamini mimi na Mimi ni musilam ila message kutoka kwa mitume na manabii ni moja tu ni kumtangaza na kumuabudu mungu kuwa ni mmoja na kaumba kila kitu haya mambo mengine ni mambo yetu sisi tu tumeyatengeneza
  6. Dodo18

    Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Itakuaje dini ya mungu ilikufa ikahitaji kufufuliwa
  7. Dodo18

    Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

    Yote tisa ila katudanganya kuhusiana na maswala ya kununua private jet for $5million.. Sidhani kama anaweza Ku afford it maana ni zaidi ya bilioni 11 za kitanzania
  8. Dodo18

    Uzi wa vitu feki tulivyonunua. Tunataka wengine wasinunue. Tupia picha

    Umenifungua macho mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Dodo18

    Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Huu ugonjwa ni shida tuombee tu Mungu suluhisho ya HIV/aids ije kupatikana kama walivyoweza kwenye corona.
  10. Dodo18

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Tecno Camon CX, nimeitumia kidogo bado kama mpya Nahitaji 150,000/= sababu nina shida na hiyo hela. Nipo dsm 0712220207 kwa mawasiloano zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Dodo18

    Phone4Sale Simu Inauzwa

    Sijakuelewa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Dodo18

    Phone4Sale Simu Inauzwa

    Kwanin naiuza? Nimeamua tu maana Nina Simu tatu sioni sababu yakua Nazo zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Dodo18

    Phone4Sale Simu Inauzwa

    Nauza Simu Tecno CX. Bei price ni 170,000. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885. Baadhi ya Specification zake ni Ram:2GB Internal Storage:16GB Camera: 16 Mega pixie mbele na nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Dodo18

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Habari wana Jamii.. Nauza simu Yangu ila nayiopenda sana Tecno Camon CX. Bei ni 170,000. Karibuni. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Dodo18

    NSSF si shamba la bibi tena

    Nssf wanaboa kitu kimoja tu hii issue ya 33.3% yao. Yaani hawakupi hela yako yote wanakupa kidogo kidogo tena for 6 months. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Dodo18

    Mageti Yanauzwa

    Sijawahi kuyapima ila najua ni makubwa ambayo yalikua yakitumika kwenye frames za nyumbani. Kwa bei ni 500,000 kwa yote inapungua kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Dodo18

    Mageti Yanauzwa

    Habari Wana Jamii.. Mageti Yanauzwa yako makubwa mawili kama kwneye picha jeupe na jeusi na mdogo yako 11.Mageti yote ni mazima na yalikua yakitumika kwenye frame zangu za nyumbani. Niko sinza mori. Kwa Mawsiliano zaidi 0712220207 au 0767173885. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Dodo18

    Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

    Halafu naona kama pambano hili litaingiliana na Manchester Derby
Back
Top Bottom