Search results

  1. Edwin nsemwa

    Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

    Umesahau jambo moja kuwa maana ya adhabu pia nikukomesha, kwaiyo mungu atahuadhibu ulimwengu ili haikomeshe na kuifuta dhambi, biblia inasema yesu anabisha mtu akifungua ataingia kwake, kumbe shida ni yetu atujafungua, suala la kuwa juu ya dhambi ni hiari ya mtu na ni kwa njia moja tu yakuokoka...
  2. Edwin nsemwa

    Kwanini Mtangazaji Anna Mwasyoke wa TBC1 anapenda kukenua kenua hadi anaboa?

    Uenda wanaofurahi ni wengi kuliko wanaoboreka ndio maana haachi
Back
Top Bottom