Search results

  1. F

    Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake

    Napenda sana nikushukuru cpu na wana jamiiforum wengine kwa upendo huu mkubwa.nitaenda pima na nitarudi kutoa ushuhuda vyovyote itakavyokuwa.nimepata nguvu kubwa sana juzi na jana na leo.mungu awabariki.tukumbuke pia kuwaombea wale wanaofanyiwa hivi,sipo peke yangu ninawafahamu wengine.na ipo...
  2. F

    Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake

    ni kweli singeweza kutokana na vitisho na hata kwa familia hawataki sifa ya kuwa na binti aliyewahi kubakwa.zaidi hasa kwa kesi ya kwanza sikupata akili ya kwenda polisi,nilienda tu nyumbani sikutoka kwa siku tatu na nilipomueleza ndugu kitu cha kwanza alienda nichukulia dawa ya kuogea kutoka...
  3. F

    Kwa mwana JF mwenzetu FORGIVE na wengine wenye matatizo kama yake

    Tatizo lilikuwa uvimbe tu kwenye kizazi,nilikuwa napata maumivu wakati wote wa kukua kwa mtoto,sema sikuwa nakwenda kliniki kwa kuogopa kupimwa,nilipozidiwa na kuanza kutoka damu ndipo nilipoenda,wakasema ujauzito ulikuwa umeharibika muda tu na maumivu ni kwasababu ya uvimbe.baada ya kukatoa...
  4. F

    Nawapenda,ningependa kuwa mmoja wenu!

    Asante sana PakaJimmy,nimezisoma na nitatii sheria zote kadri ya uwezo wangu.pia nitachangia Jamiiforums kwa kile kidogo nilichonacho nitapanga budget kidogo ya JamiiForums kuanzia mwezi ujao.mimi ni mwanamke natokea pande za kaskazini mwa Tanzania.
  5. F

    Nawapenda,ningependa kuwa mmoja wenu!

    Mimi ni Forgive,nimekuwa nikisoma Jamiiforums na nimeshawishika ni sehemu nayoweza kuwa na kukua kifikra na kiroho. ningependa kuwa mmoja wenu. Forgive
Back
Top Bottom