Search results

  1. K

    Joshua Nassari akanusha kufyatua risasi jana kwenye uchaguzi wa madiwani Daraja II Arusha

    Ni jukumu la Bwana Joshua Nassari na CHADEMA kuyashitaki hayo magazeti kwa kuandika habari za uongo ambazo zina athiri CHADEMA na Mbunge mwenyewe. CHADEMA siku zote kimekuwa kikishutumiwa kwamba ni chama cha wafanya fujo. Iwapo Nassari na CHADEMA watakaa kimya, watu wa nje ya eneo la tukio na...
  2. K

    Neno La Leo: Unapotongozwa Na Usiyemdhania, Jitathmini...

    Maggid, Kila siku unapoamua kurusha makombora kwa chama chako pendwa, huwa unapenda sana kutumia lugha ya mafumbo ambayo wakati mwingine wahusika huwa hawawezi kuambua kitu. Lakini kukiwa na swala ambalo linavihusu vyama fulani, huwa hutumii lugha ya mafumbo, bali huwa unapopoa kwa kutumia...
  3. K

    CCM Yakiri dhahiri kuelemewa kwa kasi.

    Mwakajumilo siyo Dr. Labda kama amechakachua zile za ki-CCM CCM ... kama za akina Nchimbi, Kamala na wengineo.
  4. K

    Kikwete: I can turn Tanzania into heaven if I get a billion dollars a month

    Iwapo hela iliyopo inafisadiwa huku akiwa anaangalia, je, akipata hiyo revenue ya dollar billion moja ataweza kuitumia productively? Iwapo natural resources tulizo nazo zimeshindwa kutusaidia kupanua wigo wa kodi, je, hizo dollar billion moja zitatokana na nini? Hela ya misaada na mikopo...
  5. K

    Gazeti RAI lailipua CCM kuhusu njama dhidi ya CHADEMA.

    Ku-deal na Shibuda ni rahisi sana, viongozi wa CHADEMA hawatakiwi kuumiza kichwa. Dawa yake ni kum-ignore. Viongozi wa CHADEMA wakianza kujibizana na Shibuda atawatoa kwenye hoja za msingi na hivyo kupoteza focus ya 2015. Hizo ndio gharama za zoa zoa, maana wakati mwingine unaweza kuzoa hata...
  6. K

    Wakuu wapya wa wilaya kusaidia kukabiliana na nguvu ya CDM nchini-Dk Benson Bana

    Mkuu wa Wilaya analipwa mshahara na serikali kuu; anapewa gari, posho na dereva kutoka serikalini kwenda kukiimarisha chama tawala!
  7. K

    Tundu Lissu na Wakuu Wapya wa Wilaya

    Kuwateua walioshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM au walioshindwa kwenye uchaguzi mkuu, ni matusi kwa wananchi. Haiwezekani wapiga kura wamkatae mgombea halafu bado Rais aone kwamba anafaa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya na huku Rais akijua wazi kwamba Wakuu wa Wilaya ni wana siasa na hivyo kwa...
  8. K

    Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

    Kwanini mnataka CV za waandishi tu? Daini za wateule wote.
  9. K

    (Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia

    Mkuu Halisi Hujatenda haki, hebu malizia hayo mahusiano ili angalau watu tuweze kujua kinachoendelea. Naona maelezo yako yana dalili za ushahidi wa ziada kwamba hapa kuna madudu yalifanyika, Mzee wa Zama za Ukweli na Uwazi katika kufanya Ufisadi, alitoa maelekezo ya MDOMO kwa Balozi kama...
  10. K

    There shall be a day!

    Mkuu FJM, Ukiona hivyo, hiyo ni dalili tosha kwamba madudu hayo yalikuwa na baraka kutoka juu na kwamba Bwana Nundu alikuwa anaonekana ni kikwazo (mnoko). Poor Nundu!
  11. K

    There shall be a day!

    Mkuu FJM, Tumekuwa tukiamini kwamba mawaziri wengi wamekuwa wakiwekwa kwenye wizara ambazo hawana utaalam nazo na ndio maana kumekuwa na madudu mengi. Case ya Mh. Nundu, inaweza kutumika kama proof ya kwamba tatizo sio utaalaam wa mawaziri, bali ni mfumo mzima. Nikisema mfumo, ninaongelea...
  12. K

    There shall be a day!

    Siasa za CCM ni tamu sana, mpaka zinatia raha ... yaani we acha tu! Lowassa aliposusa alisema ameonewa na wabaya wake na kwamba walikuwa wanaitaka nafasi ya PM ... akawaachia! Dr. Msabaha alisema yeye ni Bangusilo meaning "kondoo wa kafara", lakini hakumtaja mtoa kafara ni nani. Bwana Karamagi...
  13. K

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Hizo ni post za makada wa CCM. Ndio maana wabunge wa CCM walipiga kelele sana kitendo cha kuwaondoa wakuu wa wilaya kwenye marekebisho ya sheria ya kuandika katiba.
  14. K

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Mkuu uwe makini na majina ya watu, anaitwa Betty Machangu. Inawezekana Mkuu wa Kaya kampunguzia kazi, maana nakumbuka aligombe Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM.
  15. K

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Wakati mwingine ni matatizo ya kuendekeza njaa za kisiasa. Dr. Kadeghe aligombea kuteuliwa kupitia CCM huko Same (I guess ni Same Mashariki kwa Mama Killango). Lengo la Kadeghe lilikuwa kubwa, he thought kwamba angeweza kuteuliwa kuwa waziri mara baada ya kuingia mjengoni. Bahati mbaya hakupita...
  16. K

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Pasco, Nimeangalia kwa haraka haraka nimeona wana tasnia ya habari wako kama watano hivi, nikiongeza na wale walioteuliwa awamu iliyopita, ninapata mashaka kwamba kuna political corruption ndani ya sekta ya habari na hasa kwenye awamu hii ya JK. Huu ni mfumo mpya wa bahasha za khaki. Jina lako...
  17. K

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Wana recycle kwa kuwa "mwenzao" anakuwa ameangukia pua na hivyo wanatafuta namna ya kumpoza ili aweze kusonga mbele na maisha. Kumteua mbunge kuwa Mkuu wa Mkoa/Wilaya, huu ni ubadhirifu. Moja, ataendelea kulipwa posho zote za Mbunge na haswa mafuta, wakati tukijua wazi kwamba anatumia gari la...
  18. K

    The Arab spring... Mageuzi ya utawala nchi za kiarabu

    Huwezi kujifunza kutoka kwa Libya na Egypt. Funzo kwa watanzania linatakiwa litoke kwa nchi za Afrika ambako angalau tayari kulikuwa na demokrasia na siyo kutoka kwa total dictatorship ya waarabu ambao walikuwa hawajui hata vyama vingi ni nini. Ni sawa na uanze kutuletea stori za Iraq, Libya na...
  19. K

    The Arab spring... Mageuzi ya utawala nchi za kiarabu

    Nape, Kama wewe Katibu Mwenezi unakuja na hoja hii mufilisi, basi CCM is dead. Hapa naona unafananisha Chenza na Limau, yote ni jamii moja lakini yana tofauti kubwa sana. Kwanini hufananishi na Zambia, Malawi au Kenya? Mfano wako wa Misri na Libya uko nje ya mstari kwa sababu zifuatazo: 1...
  20. K

    Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

    Maxence Melo Hongera kwa kupata mtoto ... Mungu akujaalie hekima zaidi wewe pamoja na mama mtoto ili muweze kumtunza vyema mtoto wenu. Birthday yako, tutakutakia mema kesho, ila kwa sasa ngoja tupongeze ujio wa kijana! NB: Una deni ambalo siwezi kuliandika hapa.
Back
Top Bottom