Search results

  1. ffoas

    NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Kutokujua sheria au kanuni si kinga, ata utashi wa kawaida unaweza kukupa taarifa kuwa hiki ninachofanya si sawa.
  2. ffoas

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Nachokiamini nikuwa kazi ya msingi ya viongozi wa taasisi za kidini ni kuishauri na kuielea serikali kwa njia ya kuhubiri amani,mshikamano na upendo,sasa anachokifanya huyu so-called askofu naniii ni nje ya ambit ya kanuni za kidini,sasa anaanza kupoteza mvuto wa kiongozi wadini ambaye anapaswa...
  3. ffoas

    Ratiba ya Mtanzania msomi kwa siku ya kufanya kazi

    Tatizo letu hatupendi kujituma kwa bidii, tumekuwa wavivu na mizigo,thus why kila siku tunalalamika maendeleo yanachelewa wakati tunayachelewesha wenyewe hiyo ni kutokana na misingi mibovu ya malezi toka kwenye familia mpaka kwenye ngazi ya juu ya kiutawala.
  4. ffoas

    Ratiba ya Mtanzania msomi kwa siku ya kufanya kazi

    Hiyo sure kiongozi kabisa bro, nimeshuhudia office nyingi zikifanya kazi kwa style hiyo,tunajikuta kimahesabu tunafanya kazi masaa 2 tuu badala ya masaa yaliyopangwa
  5. ffoas

    Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Jaman mtu ukiwa na reasoning nzuri hupati tabu ya kumtambua mtu matatizo yake cz ata extra-sensory perception inatoa majibu ikichangiwa na body language yake kwamba ana maumivu yakutimuliwa uwaziri,cz hakuna sababu yakutanguliza shukrani za kipindi ulichokuwa kwenye uwongozi na ushirikiano...
  6. ffoas

    Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

    Wanaharakati msipate tabu wala msitumie nguvu nyingi kumcrtisize uyu bwana,jambo la msingi atuwekee ushaidi hapa JF wakutosha(credible evidence)kwamba waliosasababisha na kufanya uwalifu huo si UWAMSHO bali ni hao watu anaowasema thn tukiridhika nao ndio tunaweza kujaribu kumuelewa.lakini sio...
  7. ffoas

    PICHA: Vurugu Zanzibar: Mabaki Ya Kanisa Lililochomwa Moto kama ingekuwa Msikiti ingekuwaje?

    Wanajidai nao ni boko haram watanzania,nyie wanzanzibar,wenye idadi ya watu ambao ata milioni2 hamfiki,mnadhani hyo ni njia sahihi yakufikisha ujumbe?uko mnapoelekea nikubaya hampawezi na walahamtofanikiwa,kama ni vita ya udini angalieni kasheshe iliyotokea kati ya US& na baadhi ya mataifa ya...
  8. ffoas

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Yap!kihistoria kwa miaka anayozungumzia huyo muheshimiwa kwel CCM ilikuwa supreme,lakini kutokana na mfumo wamaisha kuwa dynamic that supremacy imetoweka,na ukiona serikali inafikia kipindi serikali inatumia nguvu ya jeshi kushinda mbinu nyingine za mamlaka iliyonayo basi ujue dhahiri serikali...
  9. ffoas

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Magufuli hana mda wakuongelea vitu vyakufikirika na visivyokuwa na tija,sababu siasa za Tz na hasa za CCM si siasa safi na nisiasa zilzopoteza mwelekeo,sasa leo maguful haaribu status yake kwa kuongelea upuuzi atakuwa ajielewi,tena uyo magufuli anaelement za uCDM ndo maana afananii na magamba,
  10. ffoas

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Nimefurahishwa sana na uliyoandika mkuu! Kiukweli uliyoyasema yanaleta maaana na picha nzuri,kutokana na uchaguzi unaohisi wewe utakuwa ni safi na wa maaana na wenye maslahi mazuri kwa wakazi wa Arumeru. Ningependa kukumbusha mambo yafuatayo. 1.tulipiga kura kutokana nakuhisi sera...
  11. ffoas

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Uwo uwelewa wako kuhusu mamlaka ya mahakama hizo mbili umeupata wapi?
  12. ffoas

    Mbatia alipewa milioni 50 na sabodo uchaguzi 2010

    Jamani kwani mtu akitumia fedha zake binafsi alizopata kwa nguvu zake ni kosa?na je mtu akipewa posho kutoka ndani ya chama chake pia nikosa,mbona hao magamba hamuwasemi na wewe pia una locas stand gani juu ya matumizi ya mbatia,je uyo mbatia hapaswi kustare na kupumzika kwa nafasi...
  13. ffoas

    Mbatia alipewa milioni 50 na sabodo uchaguzi 2010

    Kabla waandishi hawajafanya huo uchunguzi,je information hizo zimevuja kutoka wapi?na kama izo information hazijatoka kwenye reliable source uwoni utakuwa unanganya umma na kisheria pia ni kosa?tumechoka na rumors ambazo hazina msingi justify na pia toa proof yakutosha,isije ikawa ni maswala ya...
  14. ffoas

    EDWARD wa 1 na EDWARD wa 2, wanatofautiana sura, lakini wanafanana jina, kabila na uchapakazi

    usilete issue za presumption of innocence hapa watu tunamaumivu na resources zetu bwana kumfananisha mtu mwenye ethics nzuri na mtu ambaye ni mbathirifu ni kukosa nidhamu kwa watanzania wenzako ambao wanauzalendo na kuliurumia taifa lao kama unasupport ujinga katafute tanzania yako na watu wa...
  15. ffoas

    Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

    you know what askari kanzu this is deadly painful once u know these white scraps manipulate our minds and destroy everything we have including our values.there is nothing called support by them to us is just to infringe us and invade our generations which is bad thing to heard. if it was...
  16. ffoas

    Maalim Seif: Nikipewa uenyekiti niko tayari kuhamia CCM

    Kama ni kweli juu ya ulisemalo,kweli siasa ya tanzania inazidi kudidimia na pia tunaona hakuna changamoto zinazotolewa tena na baadhi ya vyama vya upinzani kwa sababu ya uchu wa vyeo na hili ndo linapelekea kuipa ccm nguvu yakuzidi kutawala,kitu ambacho mabadiliko katika taifa ili la...
  17. ffoas

    EPA kuwakandamiza watanzani zaidi

    kwakweli ni jambo lakusikitisha ambapo naona watanzania tupo kwenye hali ngumu katika maeneo mbali mbali,hasa kiuchumi,lakini ni jambo lakusikitisha serikali inapojitwisha mzigo wakulipa deni la EPA tena na kwariba ambapo hapo awali deni lilikuwa bil137 ambapo kwa sasa serikali italazimika...
  18. ffoas

    Migogoro ya ndani kwa ndani dhidi ya chama tawala

    Ni muda mfupi uliopita pale wanachama wa CCM walipokutana kwenye vikao vyao vya kichama kujadili mwelekeo mzima wa chama katika maswala ya siasa,nakupanga mbinu za kurejesha imani kwa watanzania juu ya chama cha mapinduzi,lakini ni mengi yaliongelewa,pamoja na lawama mbali mbali zikirushwa na...
Back
Top Bottom