Search results

  1. Mbaneingoma Zom

    Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!

    Kama hujui hiyo ni mahakama na hiyo ndo hukumu waliyoitoa!
  2. Mbaneingoma Zom

    Wanyama wasitugombanishe...

    Sikiliza wewe sisi tulikuwa tukila nyama hii kabla hatujajua ni nini hawa mapepo huwa wananuwizia wapochinja tukaja gundua ni sehemu ya ibada zao za makafara ndio maana na sisi kama katiba inavyosema tuna uhuru wa kuamini na kuabudu tutakacho tusilazimishane kula nyama zilizochinjwa na hao...
  3. Mbaneingoma Zom

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Hawa maccm ni wapuuzi sana, ngoja tuone itakavyokuwa mwaka huu
  4. Mbaneingoma Zom

    Mwanamke na kizungumkuti cha kumtambulisha mpenzi mpya kwa mzazi mwenzie...!

    Haya sasa tayari unakiri kuwa haitakiwi umuamini sana! kwa hiyo uwe mguu ndani mguu nje? jamani hayo si yale yale tunayoyakataa kwa nini mtu usifanye utafiti wa kutosha kuhusu mtu na ukishajiridhisha kuwa ndiye wako mchukue au chukuliwa nae, na hapo uwe tayari kuvumilia. lakini pia nakubaliana...
  5. Mbaneingoma Zom

    Picha na habari: Yaliyotokea kijijini Msimbati, Mtwara

    Kwa hiyo ili tusiwe watu wa ajabu ni pale tutakapokuwa tunayachekea majangili kuchukua rasilimali asili zetu? sasa kama huo ndo ustaarabu hatuutaki kabisa bora iwe kama Naigeria kuliko kuchekea majangili!
  6. Mbaneingoma Zom

    Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

    Mimi nakubaliana kabisa na Dr. wa ukweli kuhusu muono wa viongozi dhaifu kuwa kila kinachodaiwa na wanaichi ni siasa zinazochochewa na upindani nimependa lile neno la "wehu wa hali ya juu" alilolitumia kwani ndio neno halisi linalotakiwa kwa mazingira haya. Ila ndugu yangu Twewe tukirudi kwenye...
  7. Mbaneingoma Zom

    Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

    Achana na huyo darick hana jipya ni wale mavuvuzela tu kila atakachoambiwa anakubali bila kutumia akili yake si kosa lake bali ni baba yao dhaifu ndo kawatuma walete ujinga hapa
  8. Mbaneingoma Zom

    Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

    Mleta mada yuko sahihi kabisa ila wewe ndo umekaririshwa kuwa kila anachokiamua dhaifu ni sahihi. Hayo masuala ya mrahaba sijui mrabaha hayatuhusu tunachosema gesi ibaki Mtwara! Full Stop! kwani Mtwara ndo hakupendezei kuweka viwanda eh? au mnafikiri sisi wamakondo ndo tuko nyuma kiasi hicho...
  9. Mbaneingoma Zom

    Mwanamke na kizungumkuti cha kumtambulisha mpenzi mpya kwa mzazi mwenzie...!

    Lakini pia nyie wenzetu wakati mwingine hamwaminiki hapa unasema uampa masuprise ya mapenzi motomoto lakini mnabadilikaga nyinyi wenzetu na hapo ndipo mwanya wa maharibifu unapoanziaga. Mfano ikitokea jamaa mwingine tu akakukalia vizuri kwa maneno ya mvuto anakutoa nje ya msitari wako na hata...
  10. Mbaneingoma Zom

    Mwanamke na kizungumkuti cha kumtambulisha mpenzi mpya kwa mzazi mwenzie...!

    Sio mara zote! hata hao wazungu kuna wakati kama binadamu hukiuka makubaliano ila ambacho nakijua kwao wao kutokana kuaply theory za maisha na mapenzi wanajikuta wanaelewa tu suala la mzazi mwenza kumtunza mtoto wake. Sisi tunathamini sana mtoto pindi ukiwa na mama yake pindi ukiachana na huyo...
  11. Mbaneingoma Zom

    PICHA: mkutano wa baraza la UVCCM mkoani Arusha , watembelea Hospitali ya Mount Meru kutoa misaada

    Acha maneno ya mtandaoni umeshaelezwa kuwa hao ni wajumbe wa mkutano wa uvccm Arusha si umfuate huyu dada? kama ni suala la kuoana halina itikadi hilo waweza kumuoa gamba na hali wewe ukiwa ni gwanda hiyo inaruhusiwa ila mkiwa huko ndani mjanja ndo atambadilisha mwenzake kwa hiyo waweza jikuta...
  12. Mbaneingoma Zom

    Utabiri Wangu Huo Sasa Wanataka Rais Apunguziwe Madaraka

    Vipi hao 270 ni pamoja na mke wenu Cuf? na nyumba ndogo yetu NCCR je ? na vipi kuhusu wabunge wa viti maalumu Mbatia, Muhongo na Charles nao wamo kwenye hao 270 sabini? Aaah kwanza ebu nipe habari na wale waliopita bila kupingwa wako kwenye fungu hili? Ivi niambie mwasisi wa siasa za kupita bila...
  13. Mbaneingoma Zom

    Kamanda mawazo kuongoza moto wa m4c igoma-mwanza 2/1/2013 .

    Mimi mwenyewe niko hoi na statement hii ya Bwana ametoa CCM wanatwaa!! kweli hawa jamaa ni vichwa hebu ngoja tuone hii ngoma itaishia wapi mimi naona 2015 ni mbali sana. Yaani tungefanya mapinduzi mara moja.
  14. Mbaneingoma Zom

    CHADEMA Mkoa wa Singida chaungana na wenzao Arusha!

    Tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu kwetu sisi wana wa Arusha muendelee kuwa na moyo huo wa kujali na uzalendo
  15. Mbaneingoma Zom

    CHADEMA imeshatangaza kumtambua Meya wa Arusha?

    Afadhali umekuja kutoa ubishi maana kuna watu hata wangeambiwa msimamo wa chama wanafikiri ni uongo chama kilishasema meya hatambuliki basi.
  16. Mbaneingoma Zom

    Nape: Tutaanza kuwatumia vijana wetu kulinda viongozi

    Kweli kabisa ndugu hawa manyang'au wametufanya sisi kama watu wasio na mwelekeo hawajui kila siku tunazidi kuchoshwa na mambo yao ambayo kwa kiasi kikubwa yazidi kutudidimiza. sasa wameona hatupo pamoja nao wanataka kutumia maguvu hapo na sisi hatukubali safari hii lazima ile kwao tu!
  17. Mbaneingoma Zom

    Nape: Tutaanza kuwatumia vijana wetu kulinda viongozi

    Ndugu Crashwise; habari za siku nyingi, mimi naona CCM wamechanganyikiwa wanadhani wanaweza kuendelea na matisho yao milele nafikiri sasa itoshe na tusiwaruhusu kuendelea kututambia katika nchi yetu, hapa ndio watanzania hasa vijana inabidi tuonyeshe uwezo wetu wa kukataa kuburuzwa na hao...
  18. Mbaneingoma Zom

    CCM Igunga wafyekana mapanga kugombea pesa

    Janga Kubwa sana ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka vinginevyo the whole country is going to hell
  19. Mbaneingoma Zom

    CCM Igunga wafyekana mapanga kugombea pesa

    Na ilaaniwe sana tena sana
Back
Top Bottom