Search results

  1. S

    Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

    Si rahisi kupata visa na hasa kwa hiyo gape ya miaka yao. Aliwahi kutokezea bibi wa miaka 70 kama huyo kutoka UK kufunga ndoa na mgambia mwenye miaka 27. Magazeti yaliandika nakuandika kwamba haiwezekani kupewa visa. Bibi alisusiana na na wanawe na wajukuu kwa penzi... Kuna wa Algeria wengi tu...
  2. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini. kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani vyombo vya habari vingi vitaelekea ktk misa hiyo Lkn pia kabla ya kuwasili katika Jimbo hilo...
  3. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Mohammed Ghassany Hii imetokea leo mtaani kwetu. Mwizi amekamatwa akihamisha mizigo ya watu, wenyewe walipomshtukizia wakamwambia: "unakwenda wapi na mizigo yetu?" akawajibu: "Tena muniombe radhi!" Huku macho kayakaza.
  4. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Ally Saleh Nimesoma makala ambayo inaelekea kua imechapishwa katika gazeti kuhusu matamshi ya Waziri wa Muungano wa Ardhi na Makazi, Professa Anna Tibaijuka na kufadhaishwa na udhaifu wa ufahamu wake katika suala linalohusu Hoja Binafsi ya Mheshimiwa Ismail Jussa. Kama Profesa Ana Tibaijuka...
  5. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Mkandara hivi UK hakuna Wa-Argetina? Kama wapo ndio iwe sababu ya Wa-Argetina kunyamaza kimnya kudai haki yao iliyopelkea Iron Lady kupigana nao.... Kama kuna waarabu Wa-Pemba, hawapo Bara tu, Mombasa wapo, Msumbiji wapo, Malawi wapo kama vile wabara ambao nao wengi wapo Zanzibar kufanya kazi za...
  6. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Hussein unasema ukiwa kama nani? Sisi Wazanzibari na hasa sisi tuliyempigia kura Ismail Jussa na leo kuwa mwakilishi si wapumbavu kama wewe. Zanzibar ni biriani, mchina, mwafrika, mwarabu, m-persia, mbara, muhindi wote hao utawakuta wapo karne na karne. Aliyotufanyia Mhe Ismail Jussa tokea tukia...
  7. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    Barubaru vijana wazito hawa, wana ajenda jao juu ya zanzibar
  8. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    kuna na majibu ya Jussa yawekeni mupate kusikia upande wa pili ha ha ha
  9. S

    Hamad rRashid aiteka Wawi

    Magazeti ya Tanganyika wameshachoka naye na habari haina soko tena ha ha ha haya bahamad rashid karibu nyumbani twakusubiri uje useme hayo manenoyoooo bweleoooo
  10. S

    Maalim Seif aishukia CHADEMA

    Mhe Hamad Rashid amewaowa hao wabara kwa hiyo wasimtukane sana. Hivi huu mfumo wa serikali ya umoja wa kitaifa (GNU), imeanzia Zanzibar tu? Na hii si serikali ya mseto kama waandishi wa habari wa bara wanavyoandika. Hivi kule Nairobi kuna serikali ya aina gani vile? Hivi kule Nairobi watu...
  11. S

    Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy

    Ludovick, kwa vijana wa hapa naona utadunda, tafuta watu wa kuzungumza nao. Hata huku kwetu Zanzibar unapo jaribu kutowa machafu ya Karume, utaambiwa ahaa kutokana na hali ya hewa ya wakati huo, basi alipaswa, kuuwa, na yote yaliyo machafu, hata kuwachukuwa wake za wapizani wao. Haya kwa vijana...
  12. S

    Ukweli kUhusu Mgogoro wa Seif na Hamad Rashid CUF

    Askofu jina limekusibu. Munaweza kumpiga vita huko bara lakini Zanzibar katu hamutafanikiwa. Sisi tuko mbioni kuipa Zanzibar mamlaka yake kamili na kazi hii imekuwa ikisimamiwa na Maalim Seif kwa miaka mingi na insha-Allah kwa hili tutafanikiwa. Ya Jumbe na Seif hamuwezi kuyaelewa nyinyi. Kwa...
  13. S

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Na angetumwa yule aliye mchachafa Freeman Mbwowe basi mambo yangekuwa mengine... ha ha ha ehee Hamad Rashid ndiye anayekuwezeni nyinyi
  14. S

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    ha ha ha hao si changu dowa, na dini yao ni Ki-Islamu na Mola wao ni Allah na Muhammad (SAW) ndio mtume wao wa haki na wa mwisho baada ya Nabii Issa (AS). Na wewe una uhuru wa kuvaa upendavyo hakuna atakaye kuzuwiya. Ni hao hao waliompokea Nyerere na kumtia mjini.....
  15. S

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Wana wa chadema kwa hizi kauli zenu inaonesha hasaa kwamba huyu Zitto kwa vile Muislamu hamumpendi ndio lisilo budi. Na huyu Mbunge mwengine anaye vaa kofia munatamani afe, lakini wapi. Kazi udini udini.
  16. S

    CUF wapeleka barua Ikulu ya kuonana na Rais

    copy and paste! ahaa kweli, CUF walikataa kumtambua Salmin Amour 1995, wakagoma baraza la wawakilishi, wakaomba kwenye nchi zinazotowa misaada kusitisha kwa vile hakuna rais halali, tukaandamana 2001... Tuje kwenye wanao copy and paste... Hatumtambui Rais, hata mwaka haujamaliza wanakwenda Ikulu...
  17. S

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Nimependa uamuzi wao wa kwenda watu wachache tu,sio kuchukuwana chama kizima.Kuanzia mwenyekiti, mpaka mwenyekiti wa chama kwenye kata ha ha ha
  18. S

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Sijda!Nakwanikunatatizo gani kua mtu wa Sala tano kwa siku nzima kwa muda wiki nzima kwenye mwezi mzima na hakika ni Ibada ya maishani. Huu udini wenu unakusumbueni. Baada ya kuzungumza yaayo husiana nakilicho wapeleka Ikulu muaanza udini. Au ndiyo hayo ya Tundu Lissu kumuambia Mh Hamad Rashid...
  19. S

    Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam

    Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, ametaka mchakato wa kuelekea uundwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki, kuzingatia ukweli kwamba nchi wanachama zina historia tafauti. Katika mahojiano haya na Mohammed Khelef, Spika Kificho, anasema ni jambo la...
Back
Top Bottom