Search results

  1. R

    Tuliambiwa hizi ndege za Airbus zilizokuja Tanzania ndio za kisasa kabisa kumbe si kweli!

    Ni google nikasoma kisha nikacheka A220 family mpaka A380. Mungu anatucheeeka.
  2. R

    Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

    Si kweli kuwa aliondoka kwa sababu ya kugoma kuosha vyombo na wala darasa zima halikufukuzwa. Endapo darasa zima lilifukuzwa ilikuwaje classmate wake Mhashamu Flavian Kasala akabakia wakati walikuwa darasa moja huko Kipalapala? Nadhani ungefanya utafiti Kilangi aliingia lini Kipalapala na hayo...
  3. R

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Hakuna walichobadilika katika misimamo yao zaidi ya kutambua juhudi za rais. Tatizo uwezo wako wa kufikiri umajikita nani kasema nini! ungekuja na counter argument za kisheria dhidi ya Dr Kilangi, ungeweza kuelimisha watu zaidi ya kuja na hoja za kwenye kanga, mbona fulani, oh agent wa kitu...
  4. R

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    N Ni expert wa sheria, na amefanya kazi kwa muda mrefu na PHD yake ni kuhusu mafuta na Gesi, kwa hiyo lazima aingie ndani katika mikataba ya kimataifa kuhusu rasilimali. Lakini WTZ kila mmoja ameshakuwa mjuaji bila kujali taaluma ya mwenzake.
  5. R

    TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Pumzika kwa amani mzee wetu, ulionesha njia ya kuwa demokrasia ya vyama vingi ni uwanja mpana wa mwananchi kutoa hisia zake badala ya kubanwa na hisia za uchama chama badala ya hatima ya taifa na watu wake.
  6. R

    Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

    Choraaaaaaaaaaaa kipanya choraaaaaaaaa tupate burudani tucheke! Mbona mchoro wa kawaida sana, kabisa. Sisi Yanga hatuvai mashati ya vitenge@kipanya. Na likiandikwa neno CCM nataka kutapika. KIpanya choraaaaaaaaaaaaaaa
  7. R

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Normally DJ ni watu wenye akili sana na wanafikiri kwa kina, unadhani kupanga muziki ulete burudani kulingana na wakati na mahali na aina ya watu, inahitaji akili sana.
  8. R

    Sera ya ujamaa wa ACT - Wazalendo ndio inapelekea watu kujiunga na ACT - Wazalendo

    Mi kwa maoni yangu, hoja yenu ni dhaifu kabisa, nimejiuliza swali dogo tu ni kweli matajiri wanamiliki ardhi yote? kwa kosa dogo tu hili najua unaandika usichokijua.Ujamaaaa haupendi utajiri? Mfano akina Alibaba ni wachina, Je si matajiri?Nadhani karudi ukasome vizuri ujamaa wa Mtumishi wa Mungu...
  9. R

    Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

    Hebu mtaalamu iandike sentensi yako Kiingereza, nitufarahi
  10. R

    Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

    Nadhani hustahili kuandika chochote! kama kujenga hoja kunaanzia kujifunza kuandika, kwa hiyo CCM inapendwa vijijini kwa kuwa wengi hawajui kusoma wala kuandika? Ulishasikia methali za wazee zilizokuwa na mantiki , je walijua kusoma? halafu, mtu atakuja nazo vipi wakat hapa tunachangia vitu...
  11. R

    Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

    Leo nilikuwa nimekukumbuka kamanda wangu Saanane! Nimefurahi kukuona uko mtandaoni tena.
  12. R

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Mi naungana nawe, hii sii tu kwa kizazi ni ajira kubwa sana duniani! ulaya hawana utalii mkubwa isipokuwa wa heritage, hususani majengo! hapo wameua ajira kama kwa wale wasiojua, kuna ajira nyingi sana. Kuanzia engineering mpaka historians. Wenzetu likichakaa jengo wanaitwa conservation...
  13. R

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Kim, ndio maana wamesema destruction was noted! it was not demolition? inawezekana huyo mkandarasi hakujua! lakini mwenye akili timamu na msomi yeyote anayejua kuna kitu kinaitwa heritage ' tunu'. hawezi kubiashania upuuzi kama huu.
  14. R

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Acha uwongo niandiki piramid la wapi lililovunjwa! No historia ya Tanu, si ya Magamba, kuwaita waaasisi wa nchi kama magamba ni kutofikiri vizuri kabla hujaandika ndugu yangu. Hao magamba wanaovunja, wangejua ingekuwa ni dini hilo ndilo hekalu la CCM, lingekuwa dogo na ni makuhani wakuuu tu na...
  15. R

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Pasco! hili suala si la kutetea hata kidogo! Huu ni usaliti wa historia ya nchi yetu! Historical value ya jengo hilo haiwezi kuondolewa na mtutu yeyote anayethamini harakati za ukombozi wa TANU. Nakushauri usome earthern architecture ambayo kuna wataalamu waliobobea! Suala, ni mtaalamu gani...
  16. R

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Sawa ni vichwa, vimejaa maji tu, hawazungushi ubongo! kama serikali yenyewe ya TANU kuheshimu tunu za kitaaifa, ni Idara ya kwanza kuundwa na wakoloni mwaka 1937 na wakoloni, Nyerere akaanzisha sheria Mwaka 1964, ukisoma marais wote waliiimarisha sheria ya Mambo ya Kale! Je Serikali ya Awamu 4...
  17. R

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Sikiliza rafiki, hizi ni tunu za taifa, kwa nini kuna sheria ya Mambo ya Kale ya mwaka 1964, na marekebisho yake ya 1979 na na kuna kanuni zake kibao. Uamuzi huo wa chama chenu ni wa kiupuuzi na wakishetani, mmejaa mafisadadi, mmechanganyikiwa hamjuai hata lipi sahihi na lisilo sahihi kufanya...
  18. R

    Haki ya Kuandamana: Inawezekana Rais Kikwete hajui Sheria, ameteleza ulimi, au amepotoshwa?!

    Rais anapata muda gani wa kusoma? mara anafanya kazi za jamii, kama kwenda kutembelea wagonjwa, kuzurura ulimwnguni? Kwa sheria kama hii allipaswa kuijua.
Back
Top Bottom