Search results

  1. M

    Mkulo anatuongopea?

    Nimesema toka mwanzo wewe ni mgonjwa, hujui tujadili vipi????????? Watu hawajalipwa mishahara na wabunge hawajalipwa posho,umee elewa jadili sasa!!!!!!! Au wewe pia ni mmoja wao????????
  2. M

    Unataka kujua yaliyotokea mpaka lowassa kusafishwa soma hapa.

    Mkuu Katavi hapo umelonga hawana pa kutokea pote ni noma!!!!!!!!! Kwenye Halimashauri Umeya, ufisadi noma, mawaziri baraa, maofisini hapakaliki,watu mishahara hakuna sijui ni vipi, haponi mtu hapa!!!!!!!
  3. M

    Arnold Schwarzenegger atengana na mkewe wa miaka 25

    Wacha upuuzi huo, neno linaumba kitu lazima ukue , umeelewa???????
  4. M

    Madiwani wa CHADEMA wafichua Ufujaji wa fedha; Wananchi watokwa machozi

    Huu ni wakati wa mapambano si wa kulaza damu lazima watu wajulishwe ni viongozi gani waliwachagua kuwaweka madarakani!!!!!! Kuanzia bossi wao hadi kwenye hizo halimashauri!!!!!!!! Uzuri wake kila halimashauri kuna madiwani wa opposition, fichua huo uozo!!!!!!! Alutta Continua!! Mapambano bado...
  5. M

    Madiwani wa CHADEMA wafichua Ufujaji wa fedha; Wananchi watokwa machozi

    Mkuu Filipo kweli hapa Arusha watumie hizi data kuonyesha kwa nini hawa CCM wanangangania umeya??????? Kumbe ni wizi mtupu, kama sio wizi watueleze wanapata nini????? Barabara ya Mwanama imefungwa kuanzia Petro Station kuelekea Big Sister, kila mwaka daraja linajengwa na kubomoka huyo mkandarasi...
  6. M

    Madiwani wa CHADEMA wafichua Ufujaji wa fedha; Wananchi watokwa machozi

    Hawa watu wamelaaniwa, wataibia wananchi hadi lini?????????? Hawana hata aibu???????
  7. M

    Takwimu za Magufuli zinatia shaka

    Ni bora tuwe wakweli Bwn Mghufuli kaulizwa maswali mengi na katoa majibu, mara zote alipoulizwa!! Data alizokosea ni zipi, zielezee?????? Nyonge nyongeni lakini haki yake mpeni!!
  8. M

    Zitto: Serikali ya JK katika hali mbaya kifedha; Mkulo Akanusha!

    Wewe ni mgonjwa wa akili, pata dozi ya malaria tunangoja upone!!!!!!!!
  9. M

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Mchungaji Mtikila pamoja na Dr Slaa tafadhari anzeni na huyu kijana RIZ 1, apelekwe mahakamani aeleze alipataje hiyo mifedha. Kama alifikiri mahakama ni mchezo aone moto yeye ni lawyer atatokea mbele. Nia hasa ni kuzuia kwa muda malengo ya wizi wa mali za wananchi kama vile ni shamba la bibi...
  10. M

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Hivi kweli wandugu wapenzi hii sio EPA No2???? Maana huyu Rais wetu alisema fedha za EPA wale wezi wamerudisha Tshs 70,000,000,000/= bilion sabini. Ikasemekana fedha hizo zimepelekwa TIB benki ya rasilimali ya taifa zote.Baadae tukasikia hizo fedha zimepelekwa kilimo kwanza na Mhs Rais Tshs...
  11. M

    Jaman, jaman, jaman jf mambo??

    Mbona Logo unakuja kiujanja ujanja,KIMTINDO WA UGANI UGANI. Karibuni hapa JF, lakini usiwe na jazba hapa utajifunza mengi na kufaidi mengi pia!!!!!!!!! KARIBU!!!
  12. M

    Spika Makinda, athibitisha 'Muswada Umeondolewa'

    Pasco madai ya wana CDM ni mengi, si hilo la muswada tuu!!!!! Kwanza jamii ya Watanzania wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa wakati kuna mafisadi wanakula na kusaza na watoto wao wanasoma Ulaya. Afya za watu ni taabu saana, hakuna madawa na dispensary hakuna kamazipo ziko mbali na wananchi...
  13. M

    Waraka wa Hussein Bashe kwa NEC, CC na secretariet mpya ya CCM

    Kanunua Range Rover au Hammer labda nakosea wapo wawili wote ni wa RA!!!!!! Huyu RA ni Mungu atuokoe maana anajitia yuko kila mahali, tumvue pia kama gamba!!!!!!
  14. M

    Waraka wa Hussein Bashe kwa NEC, CC na secretariet mpya ya CCM

    Ahsante Bwn OgwaluMapesa, mimi siamini kuwa huyu ni yule Bashe wa Nzega au kwa vile mkubwa wake yaani Boss katupwa nje ya CC na NEC na yeye ameanza kufunguka pia kwenye fikra!!!!!!! Bado siamini kwa sababu Bashe analinda maslahi ya Rostam Azizi, huyu Bwn ataona nina mkomalia lakini kujivua gamba...
  15. M

    Kulikoni Gazeti la Mtanzania Kuishambulia Serikali Kiasi Hiki!!!

    Mambo ndio yameanza, unajua Mungu anazo njia nyingi za kutupigania. Alitumia viwete wakoma kutisha na kufukuza majeshi ya Washami waliokusanyika kuvamia Jerusalemu. Mungu hashindwi kutumia majeshi ya Wafiristi kuipigania Tanzania!!!!!!!
  16. M

    Tundu Lissu asusia mkutano Dar

    Wewe umetumwa waambie sikumkuta, majibu utapata mbele ya safari!!!!!!!
  17. M

    Tundu Lissu asusia mkutano Dar

    Katiba ni mali ya wananchi Watanzania!!!!!!Aluta Continua, katiba mpya ndilo jibu pekee!!!!!!!!!
  18. M

    Tundu Lissu asusia mkutano Dar

    Kwa hiyo wewe Bepari unaitakia nchi yako mema????? Unaona nivizuri jinsi nchi yako inavyo endeshwa au kutawaliwa na wezi??????? Hutaki watu wajue ukweli kuwa wanaibiwa kama CDM inavyofanya, cos SISIEMU hawawezi kukemea wezi maana hiyo ni sera yao kutuibia!!!!! Wewe hutaki tuweke katiba itakayo...
  19. M

    Tundu Lissu asusia mkutano Dar

    Mkuu Fide180 umefanya vizuri kumjibu Majimshindo upuuzi wake, nadhani huyu jamaa ndiye hasa aliye andaa kuleta watoto kwenye ukumbi wa kujadili katiba ambayo ni msitakabali wa maisha yetu!!!!!!!Kama siye basi ana hisa kwenye hili jambo!!!!! Hivi SISIEMU wana akili timamu kweli???????? Kwa mtu...
  20. M

    UVCCM watangaza vita na BAVICHA (Arusha)

    Mkuu tunza majina ya hao vijana na record za vikao vyao, naona wa kwenda the HAGHUE ni wengi. Wawa ulize kina Ruto, Mthaura, Hussein Mohamed na wenzao walianza hivihivi. Hawawezi kuzuia nguvu ya umma. Waachane na mawazo ya kijinga CDM ni chama kinachopambana na mafisadi wa nchi hii ya Tanzania...
Back
Top Bottom