Search results

  1. Luqman mohamedy

    Karibu ujipatie Lab coat kwaajili ya madaktari, Wafamasia, watu wa maabara na mabucha ya nyama

    Bei ni elfu 25 tu kwa koti moja,mawili ni elfu 45. Tunapatikana Makumbusho, Tunafanya delivery kokote ulipo. Material ya kitambaa ni tetron laini inayong'aa, rahisi kufua na kupiga pasi. 0769509430 tukuletee kokote pale leo hii.
  2. Luqman mohamedy

    Tunauza Lab Coat (makoti meupe) kwaajili ya wahudumu wa afya, mifugo nk

    Bei ni elfu 25 tu, Material ni polyester maarufu kama kitambaa cha Zanzibar ambacho ni rahisi kufua na kupasi (au kitambaa cha sukarisukari kinachoteleza). Tupo Manzese Tiptop,DSM. Delivery inafanyika popote pale. 0769509430.
  3. Luqman mohamedy

    Nauza Lab Coats kwa bei nzuri

    OFA! OFA! YA LAB COAT [emoji91][emoji91] Jipatie lab coat za high quality GRADE A kwa bei rahisi kabisa [emoji117]Material zake ni ile inayong'aa na rahisi kufua. [emoji117]Bei ni elfu 28 tu na elfu 55 tu ukinunua mawili. Tunasafarisha kokote ulipo. Tucheki kwa 0769509430.
  4. Luqman mohamedy

    SoC02 Natamani nchi yangu ifanye mapinduzi kwenye sekta hizi

    Kuna mambo kama matano kwa mtazamo wangu ikiwa tutachukua hatua kubadilisha nadhani kila kitu kitabadilika kwenye nchi hii (1)Mapinduzi katika Sekta ya Elimu (a)Kubadilisha Mfumo wa Elimu. Kutoka 7-4-2-3 kwenda 6-3-2(Miaka 6 primary 3 Sekondsri 2½ chuo cha ufundi stadi/taaluma) Tutatoa wasomi...
  5. Luqman mohamedy

    SoC02 Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisekta

    Tanzania tunahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika sekta kadhaa ili kuiifikia nchi ya ahadi tunayoitamani. Kuna mambo kama matano kwa mtazamo wangu ikiwa tutachukua hatua kubadilisha nadhani kila kitu kitabadilika (1)Mapinduzi katika Sekta ya Elimu (a)Kubadilisha Mfumo wa Elimu...
  6. Luqman mohamedy

    SoC02 Suluhisho la ajira kwa wahitimu wa fani za uhandisi

    Kumaliza tatizo la ajira na kulialia ni lazima uwe mbunifu wa kutumia vyema nafasi na elimu uliyopata kuzalisha kwa namna tofauti.Ni rahisi kutumia ulichosomea kwa utofauti kwa kusoma at least FOUNDITION COURSE/FREE narudia FREE ONLINE SHORT COURSE YA AT LEAST 3 WEEKS MPAKA MIEZI MIWILI...
  7. Luqman mohamedy

    SoC02 Mfumo wetu wa elimu ndio chanzo cha umasikini na matatizo yote tuliyonayo

    Tafiti zilizofanywa mwaka 2020 zinaonyesha uchumi wa nchi hautegemei tu jumla ya bidhaa na huduma zinazotolewa kwenye nchi kwa mwaka huo yaani 'Gross Domestic product' bali mfumo wa elimu pia unachangia.Uthibitisho huu unapatikana kwenye nchi zenye mfumo bora zaidi wa elimu duniani kama...
  8. Luqman mohamedy

    SoC02 Basic life saving skills zinapaswa kufundishwa kwa wote na sio wahudumu wa afya tu

    Ukiongelea haya mambo utajua ni utani,ila ukosefu wa hivi vitu ndio sababu namba 1 ya vifo vingi kwenye mkanyagano katika mikusanyiko na vifo kupitia magonjwa ya ghafla majumbani [emoji117]Kwa bahati mbaya watu wanadhani hivi vitu anapaswa kujua muhudumu wa afya tu,watu wa huduma ya kwanza au...
  9. Luqman mohamedy

    Where Is Ontario?

    Kuna jamaa wa FOREX alitamba sana kipindi cha nyuma, kama sikosei walimuita Ontario au jina lingine(naomba nikumbushe) Alipata wafuasi sana,nataka kujua mwisho wao 2013-2015
  10. Luqman mohamedy

    Huawei P20 mpya hii hapa 390k

    Specification RAM-6GB Internal Storage-128GB Location:Mikocheni DSM 0769509430
  11. Luqman mohamedy

    Phone4Sale Samsung Galaxy A30 na iphone 6 plain zipo sokoni

    6 plain 16GB-270k Samsung Galaxy A30 64GB|4GB-300k Daresalam 0769509430
  12. Luqman mohamedy

    Kibanda cha chuma cha biashara

    -Kibanda kipo katika hali nzuri. -Ni kikubwa mbali na Tigo na Mpesa unaweza kuuza bidhaa nyingine ndani kwa ukubwa wake. -Chuma tupu juu kina bati. Kinahamishika kirahisi na carry. Kipo MWENGE MPAKANI DAR ES SALAAM. BEI NI LAKI 6 -..hii haina kulipa kodi kila mwezi unakitega njiani au...
  13. Luqman mohamedy

    Kabati (case) la kisasa la mbao hili hapa kwa 225k tu

    Hailipi kk jiongeze kidogo boss
  14. Luqman mohamedy

    Kabati (case) la kisasa la mbao hili hapa kwa 225k tu

    Kabati ni ndefu sana. -Ni ya kisasa zile zisizokuwa na mlango,unaweza kudisplay chochote kuanzia mikoba,nguo na vitu vyako vidogo vidogo. Ina droo kubwa mno ya kuhifadhia unachokipenda -Ni ndefu sana zaidi ya futi 6 na ina partition zaidi ya 5. -Halina hata mkwaruzo. Lipo Mwananyamala karibu...
  15. Luqman mohamedy

    Mfumo na Ubora wa Elimu yetu ndio chanzo cha umasikini

    MFUMO WETU WA ELIMU NDIO CHANZO CHA UMASIKINI,UCHUMI MBOVU WA RAIA NA NCHI KIUJUMLA. Swali hili nawajibu wale waliojiuliza kwanini tunatoa elimu za biashara na kijamii mitandaoni?? Tafiti zilizofanywa mwaka 2020 zinaonyesha uchumi wa nchi hautegemei tu jumla ya bidhaa na huduma zinazotolewa...
  16. Luqman mohamedy

    Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

    Huyo mnafiki mayalla mnampa mileage aliyokuwa anataka na si nyingine ni kuzungumziwa.Mnafiki sana huyu jamaa kuna kipindi alijifanya kumchallange magu kwa katiba mpya mara anamsifia shida yake uongozi
  17. Luqman mohamedy

    Tundu Lissu ni shujaa

    [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
Back
Top Bottom