Search results

  1. G

    AirTel 1/4 sh from 11pm-6am ni Uwongo na kuvunja haki za wateja

    Habari ndugu wana Jamii forum, kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu katika kituo chetu cha huduma kwa wateja namba 100, au unaweza kututumia barua pepe helpdesk@tz.aitel.com ili tuweze kukuhudumia katika suula hili la mpango wa malipo wa robo shilingi kwa kupiga simu za Airtel kwenda Airtel...
  2. G

    AirTel 1/4 sh from 11pm-6am ni Uwongo na kuvunja haki za wateja

    Habari dugu,ndio mimi ni mfanyakazi wa Airtel naomba nikusaidie tafadhali kuhusiana na hili suala lililoletwa na mwana jamii mwenzetu,viwango vya kupiga simu Airtel kwenda kuanzia saa tano usiku 11pm mpaka saa kumi na mbili asubuhi 6am ni robo (1/4) shilingi.
  3. G

    AirTel 1/4 sh from 11pm-6am ni Uwongo na kuvunja haki za wateja

    Habari wana jamii forum,malipo ya kupiga simu za Airtel kwenda Airtel kuanzia saa tano usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi ni robo shilingi kwa sekunde,naomba kwa ambae anadhani alikatwa pesa zaidi anipatie namba yake na tarehe uliyopiga simu ili niweze kuangalia na kushugulikia suala lake na...
Back
Top Bottom