Search results

  1. C

    Airtel wapunguza kifurushi cha Internet

    Hali inazidi kua mbaya,nimekua nikitumia mtandao wa airtel kwa zaidi ya miaka 16,nafikiri kuachana na huu mtandao, kifurushi Chao cha Internet kinakwisha kwa haraka na sasa wamepunguza kabisa hizo bundle...nafikiri kubaki na line ya Halotel tu kwa sasa.
  2. C

    Huduma zizolewazo na Kituo cha TANESCO Kibamba ni mbovu

    Ni takribani wiki sasa sina umeme fundi amekagua akagundua tatizo liko kwenye Mita,kwamba umeme unaingia lakini hautoki Tumetoa taarifa TANESCO Kibamba wakasema fundi atakuja na wakatupatia namba ya huduma kwa wataje. Matokeo yake kila ukipiga wanakupiga dana dana tu, mara gari zimekwama mara...
  3. C

    Natafuta binti mwenye ujuzi wa kazi za saloon

    Saloon iko Dar,ni ya kike,mabinti wenye ujuzi walioko ndani ya Dar au mikoa ya jirani kama Dodoma,Tanga,Pwani na Morogoro mnakaribishwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Natafuta binti mwenye ujuzi na kazi za saloon

    Saloon iko Dar,awe serious kufanya kazi na mwaminifu,..binti anaweza toka ndani ya Dar au mikoa ya jirani na Dar,kama Morogoro,Pwani,Tanga na Dodoma..mwenye ujuzi aje PM..Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom