Search results

  1. C

    Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Nina rafiki mmoja tu tangu O level mpk sasa kwenye maisha,..kwa sasa tunaishi mikoa tofauti bado tuko vzr.
  2. C

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Hapo huna mchumba wala mke mtarajiwa..kama mnakutana mara 1 anakusaliti wazi,je anapokua peke yake anafanya nini?ameshindwa kuvumilia uondoke ndio afanye ujinga na huyo mpuuz mwenzake...nimepata hasira sana,hukutakiwa kulala hicho chumba...huyo ni malaya kakubuhu...hana mapenz na ww,..asije kuua...
  3. C

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Kama ulichoandika ni kweli,kosa lako la kwanza ni kufuata kila anachotaka...hapo hujaoa,bali ww ndio umeolewa na kwanza huyo mwanamke hakutaki ww ndio umelazimisha ndoa,kifupi huna mke wala ndoa...amekutngenezea mazingira yote ya kukukataa lkn ww bado king'ang'anizi,iko siku atakwambia live...
  4. C

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Kwa asilimia kubwa huu uzi una uongo kwa asilimia 100,..hospital kuna kada tofauti hakuna madaktari peke yake,pale kuna levels za Medical attendant,Nurses,wataalam wa maabara,wataalamu wa Mionzi,Wataalam wa meno,Clinical officers, AMO, MD na madaktari bingwa,..mwanafunzi yoyote anayesoma kada ya...
  5. C

    Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

    Inawezekana uko under 30,wanaume mature ni above 30 na hawana muda wa kujadiri tabia za wanawake..hujadiri kuhusu mipango ya maisha ,uwekezaji,kusomesha n.k...suala la mwanamke kuchepuka halima mfanyakazi wala mama wa nyumbani,..hiyo ni tabia ya mtu,kama ilivyo sisi wanaume kuna ambao waaminifu...
  6. C

    Shetani ni tajiri kuliko Mungu hapa duniani

    Shetani hajawahi kua tajiri na hana anachomiliki,vyote ni mali ya Mungu...Mwanzo 1:1-28,..tatizo shetani ni baba wa uongo na hapo ndipo alipowashika wanadamu wasioelewa,hua anafanya ukweli kua uongo,...ukitaka kujua hili tafuta tajiri yoyote aliyepata utajiri kwa njia za kishirikina,uone mwisho...
  7. C

    Vigezo gani vilitumika kumchagua Mnyama kondoo kama alama ya waumini?

    Kwenye utabibu yule sio nyoka,ni mnyoo na ile fimbo ndio iliyotumika kumtolea...ni somo hilo Parasitology.
  8. C

    Kwangu naona sasa mapenzi basi

    Nafikiri hujafika hata 30yrs,bado mvulana,..ukivuka hiyo hatua utapata utulivu na utafanya maamuzi sahihi..mwengi tumepitia hiyo hali mpk tulipopevuka akili.
  9. C

    Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

    Kama kweli umeokoka na unajifunza NENO la Mungu,utakua unafahamu kosa lako,unless umekua jeuli..Mungu alipowaambia wana wa Israel wasiolewe na mataifa mengine,binti wala wana wa kiume je,unafahamu kwa nini?..Imani ni kitu chenye nguvu sana,liko kosa umefanya, tulia tengeneza na Mungu,oa ktk...
  10. C

    Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

    Mwanamke hachepuki kwa sababu ya tamaa,..mwanamke akichepuka tambua kisha hamisha upendo wote kwa huyo jamaa,hata akiambiwa akuwekee sumu yuko tayari...kuna unatafiti mmoja ulifanyika ukaonyesha kua,97% Mwanamke akichepuka anaweza muua mumewe kama ataambiwa afanye hivyo na mchepuko wake ili...
  11. C

    Kuishi na Mtoto wa kufikia ni jukumu zito sana

    Kuna dada analea mtoto wake wa kiume,..aisee yule mtoto namuhurumia sana future yake na bora angekua wa kike,..toto linadekezwa hatari,ana miaka 4 sasa,anavunja vitu vya ndani mama anacheka tu,kila anachotaka mama anampa,siku moja nikampa ushauri kua anamuharibu,akasema mwanangu ni huyu huyu...
  12. C

    Imekaaje Hii Mzazi kutongoza Mwalimu Anayemfundisha Mtoto wake?

    Hao walimu na mkuu wao wanashida...yaani mambo private unaenda sema kwa mkuu wako kwani angekataa kuna tatizo?je,wanaokubali wanaenda toa taarifa?..hao wachache wanafanya taaluma ya ualimu idhalaurike.
  13. C

    Swali kwa wanandoa

    Miaka 9 sijawahi mchoka,..ni mrembo na anajipenda.
  14. C

    Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Kaa chini ongea naye,mwelimishe...mfundishe kufanya control ya mwili wake hasa vyakula,mnunulie mavazi lkn pia mikanda ya kubana tumbo,baada ya muda atakaa sawa.
  15. C

    Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Binafsi watumishi wengi wa kiroho nawakubali,hasa wenye misimamo thabiti ya kiroho...lkn mtumishi wangu pendwa ni MAREHEMU DR MOSES KULOLA..huyu mtumishi hua nasikiliza sana injili yake...pia mwenye mikanda ya mahubiri ya huyu mzee niko tayari kuinunua tuwasiliane,natunza kumbukumbu yaweze nisaidia.
  16. C

    Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Umetema madini sana.
  17. C

    Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Kua mentor wa mtumishi fulani sio kigezo,..watu hubadirika,anaweza anza vizuri akamaliza vibaya,..mfano mzee kulola amezaa watumishi wengi kiroho lkn wengine wamesha haribika,hawatembei kwenye ile misingi ya kwanza,kwa hiyo,mtumishi inabidi kila wakati awe makini na Roho Mtakatifu ili asitoke...
  18. C

    Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Mzee Kulola yule mpaka mapepo yalikua yanamtambua kua ni mtu wa Mungu,waulize wachawo nguli watakwambia kuhusu marehemu kulola...amemaliza kazi yake kwa ushindi mkubwa.
  19. C

    TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

    Jumamosi moja nilikua K/koo,ndani ya nusu saa umeme ulikata kama mara 3 hivi na ukikata system zinazima inabidi generator iwake na system zianze upya...kero tupu,sina hakika kama hizi kero hawa viongozi wetu wanazijua au la,...kwenye mwendo kasi nako ni balaa,watu wamerundikwa kama viroba,yaani...
  20. C

    Kama wewe sio Muha wa Kigoma, basi usithubutu kuoa mwanamke Muha

    Ndoa sio kabila,ndoa ni mtu,katika kila kabisa kuna walio wema na wabaya,..msingi wa mtu mwema ni malezi,mtu akilelewa vizuri uwezekano wa kua mtu mwema ni zaidi 80%,..kama alilelewa vibaya akakosa upendo uwezekano wa kua mtu mbaya ni mkubwa Siamini wanawake wote wa Kiha wanatabia mbaya,...japo...
Back
Top Bottom