Hatari kubwa kwa taifa letu ni wananchi hasa vijana wanaotetea uovu wa wenye mamlaka na kuacha kuahoji kuhusu haki na kufuata maadili. Wasichojua wanafanya kilekile walochofanya baadhi ya mababu zetu kuwafunga wenzao na kuwauza kwa waarabu.
Kiongozi anahitaji kujitambua nafasi yake kwa jamii. Kutaka kuyafanya makosa katika maisha kwamba ni ujanja kwasababu sasa wewe ni kiongozi ni Upumbavu.
VP is undefined..sio mpole na sio mkali, sio mkweli na sio muongo, sio mwenye afya na sio mgonjwa, sio mwenye akili na sio mjinga, sio malaika na sio shetani...
Kuhusu mikataba ya nchi na nchi ya kuzingatia
1. Iwe na faida kwa nchi zote
2. Ilinde rasilimali za nchi kwa faida ya vizazi vijavyo
3. Isiwe kwa sababu viongozi wamepewa tender na halua na kufifisha kuona kwao mbele
Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo?
Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
Kiwango Cha unafiki cha wilbrod ni cha kiwango cha lami. Itoshe kusema tutaona kwa macho adhabu yake kwa tabia yake. (He is going to end up a destitute)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.