Search results

  1. Shareef Conscious

    Laptop inauzwa

    350K
  2. Shareef Conscious

    Kwanini si vyema kubeza juhudi za mtu

    Kuna tabia imekuwepo kwa miongo kadhaa, pengine hata karne sasa Nasema karne, japo ki umri ndio kwanza nipo theluthi moja ya karne Ila nafahamu Tabia za mwanadamu hazibadiliki ingawa mazingira pekee ndio hubadilika Juhudi chanya ndizo nilizokusudia hapa Mnamo mwaka 2001 huko malawi, mvulana 1...
  3. Shareef Conscious

    Ni kiasi gani ambacho MTU ukiwa na uhakika wa kuingiza kwa siku unaweza kuhesabika kama wewe ni Tajiri?

    Poor, middle class na Rich people Wanatofautishwa na kiasi cha Assets/Liabilities walizonazo Issue sio kuingiza pesa, ila pesa zako zipo ktk uelekeo upi/mtiririko upi Kuingiza pesa pekee haitoshi, unafanya nn ili pesa hizo zikuzalishie zaidi(Mtiririko) Waweza kua na matumizi=Na...
  4. Shareef Conscious

    Laptop inauzwa

    Sijaandika bei mahala ppte hpo, so usiniwekee maneno mdomoni Na pia niliowasiliana nao sijawatajia bei km hiyo KUWA MSTARAABU TAFADHALI
  5. Shareef Conscious

    Laptop inauzwa

    Hakuniuliza bei personally, sijajua nia yake haswa ya ku Comment hivyo ni nini Ila bei yke ni Affordable kabisa
  6. Shareef Conscious

    Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Ndio km walioandamana France kupinga ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, hv statistically uharibifu mkubwa zaidi wa mazingira upo Ulaya or Africa?? Wana mazingira hao hao ndio waliotumika na Russia kupinga matumizi ya nyuklia Ujerumani km chanzo cha nishati Sasahv, ujerumani ni tegemezi ktk...
  7. Shareef Conscious

    Laptop inauzwa

    Hizo hapo picha Sister
  8. Shareef Conscious

    Laptop inauzwa

    Hp notebook Ram-4GB Hard Drive_500Gb Display-1366*768 Batter life-11Hrs Batter type-Replaceable Bei - 350K Haina damage yyte, imetumika 5 months Shortly ni km mpya tu Namba-0764 372652/0626 579795
  9. Shareef Conscious

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    LAPTOP hp notebook Ram 4gb Internal Disk 500Gb Haina Damage yyte Imetumika only 5 months(Nilinunua Shop ikiwa mpya) Inakaa na moto sio chini ya 6/7 Hrs Sababu ya kuiuza-Nimepata kubwa zaidi Bei ya Kuokota kabisa=350,000 LOCATION-Mwanza Namba- 0764 372652 Karibuni
  10. Shareef Conscious

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    LAPTOP hp notebook Ram 4gb Internal Disk 500Gb Haina Damage yyte Imetumika only 5 months(Nilinunua Shop ikiwa mpya) Inakaa na moto sio chini ya 6/7 Hrs Sababu ya kuiuza-Nimepata kubwa zaidi Bei ya Kuokota kabisa=350,000 LOCATION-Mwanza Namba-0764 372652 Au. 0626 579795 Karibuni
  11. Shareef Conscious

    Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Km una uhitaji wa Laptop Hp notebook, haina Damage yoyote bado ina uzima wake kabisa RAM - 4gb Disk internal-500Gb Contact zangu ni 0764 372652 Au 0626 579795
  12. Shareef Conscious

    Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Si kwamba uislamu una UKRISTO ndani yake, ila uislamu una mafundisho ya YESU ndani yake,km miongoni mwa mitume wa mwenye enzi Mungu na HAKUFUNDISHA UKRISTO.Ukristo ni matokeo ya KANISA. Yesu alifundisha juu ya kumcha mwenye enzi mungu 1 asiye na mshirika,ambaye hajazaa wala kuzaliwa na...
  13. Shareef Conscious

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "Ukiishi msituni,USIPOWINDA UTAWINDWA" -Dizasta vina-
  14. Shareef Conscious

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    G'Depression ilitokea 1929-33, so ikiwa wao walianzisha hiyo FED 1913 kipindi ambacho hapakua na Depression yyte, does that means kulitokea Economic slump yyte b4 or maybe Economic recession yyte US which led them to take tht step? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Shareef Conscious

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Rothschild wana play part gan ss ktk siasa za Marekani na masuala ya kiutawala kwa ujumla Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Shareef Conscious

    Nimeamini hanipendi huyu msichana

    Ktk mahusiano yule ambaye anajali kiasi ndio mwenye uwezo wa ku control zaidi mahusiano.. Punguza kujali Saaaana,jali kiasi [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Shareef Conscious

    Nimeamini hanipendi huyu msichana

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Shareef Conscious

    Kiwanja kinahitajika Mwanza

    Kama kuna kiwanja kinapatikana maeneo ya Mwanza mjini/karibu na mjini, kiwe kipo sehemu nzuri. Contact namba hizi: 0764 372 652 0738 661 897 Shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Shareef Conscious

    Biashara Mbili Unazoweza Kuanzisha Bila Mtaji

    Nani sasa,aliyeweka Bandiko or mimi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom