Search results

  1. H

    Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

    2003-2006 again 2007-2009 An amazing history n experience to be there...once n 4all everthing is remembered... State house enzi hizo bora uingie Staff room... Kuitwa na HB bora Kisusange aagize uonanenae... Bogius Mwigunda superHB wa muda wangu aiseeee... Jamaa alikua Talented God bless him...
  2. H

    Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

    Sekioni huyohuyo wa comedy alipiga pale tulikuta historia yake
  3. H

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Mange alishapost picha lkn watu hamkujua anamaanisha nn... Angalia picha ilikua na coment 5 baada ya hl imefikisha maelfu...hapo ndipo usomi wake ulipotumika
  4. H

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Tasnia ya habari yote ni umbea...soo hapo nafkri tunapeleka message kwa wanaume wanaosomea uandishi wa habari...
  5. H

    Ushauri kwa Mange Kimambi

    Jamani...wangapi wanasoma afu professional zinawekwa sandukuni... Kusoma ni kuutoa ujinga na kupanua mawazo... Nahisi kusoma kumemsaidia kufanya anayofanya sasa... Jiulize Tz walitakaga wamrudishe lkn kuna kitu wanashindiwa...hzo ni akili zake jmn...
  6. H

    Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

    Watu tunaagiza vtu online na tunalipa b4 soo is de matter of trust
  7. H

    Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

    Acha ushamba hujawahi parchase online
  8. H

    Rais Magufuli akiri pesa za kiwanda cha saruji Lindi kuliwa

    Possibly umesema ki2 cha kweli... Na ndio maana kuanguka kwa Gaddafi ndio anguko la Camillius ... Aidha angekua untouchable hata Ngoyai asingemuweza
  9. H

    Naomba kujuzwa faida za kwenda au kutokwenda sauna?

    Sauna ni Bafu ya Mvuke.... hii inapatikana saana sana nchi za baridi like Rusia, Germany,England etc....
  10. H

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Duh! Hii ni mbaya kwa siasa za nchi yetu...japo 2nashabkia tu watanzania... Hv nan acyejua siasa mchezö mchafuu..?
Back
Top Bottom