Jamani hivi kwa kupitia mikataba kama hii, serikali ina nia njema na watanzania sisi masikini kama ilivyolenga kuwasaidia watanzania hawa? ni kweli kima cha chini cha mshahara kwa mfanyakazi ndio hiki?
Kiwanda kikubwa kama hiki cha cement chenye matawi nchi zaidi ya tano Afrika ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.