mbn hamlipi nafasi chama langu la urusi lina rasilimali za kila aina mafuta, gas madini pia ni nchi kubwa zaidi kieneo duniani, ndio taifa lenye watu wengi zaidi wanaograduate kwenye fani za engineering pia lina rais intelligent bw Putin, hakika huu mjadala ulifaa kulihusisha na lenyew linaweza...
Mapema mwaka huu rais putin aliyatambulisha makombora mapya ya nchi hiyo yenye uwezo wa kusafiri kwa speed mara kumi zaidi ya speed ya sauti ( hypersonic glide vehicle), pia rais putin alisema hakuna nchi yyt duniani inayoweza kuyazuia makombora hayo kwa teknolojia ya sasa wala kwa teknolojia...
Mamlaka katika jimbo lililo kaskazini mwa Nigeria la Kaduna zinasema kuwa zaidi ya walimu 20,000 wa shule za msingi watafutwa baada ya wao kufeli mtihani unaotahili kufanywa na wanafunzi wao.
Hii inafuatia madai kuwa nyingi ya shule za msingi na sekondari nchini Nigeria huzalisha wanafunzi...
baada ya vita dhidi ya madawa ya kulevya kupoteza maelfu ya maisha wa watu ambao huuawa kwa kupigwa risasi na vyombo vya usalama nchini ufilipino katika operation inayoongozwa na rais ya nchi hiyo bw rodrigo duterte, sasa inaonekana vita hio imefikia mahali ambako ni ngumu kumeza baada mtoto wa...
Syria inasema kuwa ndege za jeshi la Israeli zimeshambulia kituo cha kijeshi magharibi mwa nchi huku ripoti zikiseka kuwa kiwanda cha silaha za kemikali zilishambuliwa.
Taarifa za jeshi zilisema kuwa makombora yaliyofyatuliwa kutoka anga ya Lebanon yalilenga kiwanda hicho kilicho karibu na...
Msichana mmoja wa miaka minne amefariki kutokana na malaria ya ubongo kaskazni mwa Italia, eneo ambalo halina ugonjwa huo katika kile ambacho madaktari wanasema ni kisa kisicho cha kawaida.
Sofia Zago alifariki mjini Brescia siku ya Jumapili usiku baada ya kupelekewa huko akiwa na vipimo vya...
Dah pole yao watakaoathirika...wamarekan wanazingua cku hizi nina mpango wa kwenda kusaka life urusi venezuela,cuba au north korea walio tayari twendeni
Urusi nae kwa mikwara hajambo,yeye mwenyew ana vikwazo chungu mbovu kila cku analalamika halafu leo apige biti NK asiwekewe vikwazo!! haya mabiti angepiga ili kujinusuru yeye mwenyew na vikwazo vya marekan na wenzie ingekuwa poa sana..linapokuja swala linalomhusu marekan basi urusi huwa na...
Mahakama ya Katiba ya Guatemala imesitisha uamuzi ulitolewa na raisi Jimmy Morales Kumfukuza mkuu wa ujumbe wa kupambana na rushwa wa Umoja wa Mataifa nchini humo, ambaye aliitisha uchunguzi ufanywe dhidi ya madai ya matumizi mabaya ya fedha katika kampeni za uchaguzi wa 2015.
Katika mkanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.