Search results

  1. M

    Baada ya Mbagala na Gongo la Mboto na hapa je??????

    hata mimi nashauri tumfuate huh=kohuko juu tukimngojea chini atatumaliza uvumilivu naona umeisha kilichobaki maamuzi tu kwani situnawaona wenzetu wa misri
  2. M

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Naona hawa wote tuwapeleke huko gogngo la mboto nawao walipuliwe kwani hawanamatumizi au manufaa kwetu vitendo yao kwetu ni sawa na hiyo miilipuko na hakuna tofauti wanataka kutumaliza
  3. M

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Huyu jamaa naona atakua kapewa kitu kidogo wakwend chekechea ni wewe na hao wezio wasi wajibika mana naona akili zenu zinafanana na c wazima kabisa kinachotakiwa kwa watu kama wewe ni kuadhibiwa tu ili iwe mfano kwa watu kama wewe kujifunza huyu binadamu asituzoee tukimchunguza nimmoja kati ya...
  4. M

    Nchi hii imenichosha kabisa

    Pole kwa kukatizwa safari hayo nimatokeo ya uongozi mbaya wa kikwete huku kilimanjaro ndge zimepaki hazina pakwennda iliyokuja jana uck kutokea ams jro dar imeshindwa na abiria wote wako hotelini huu upuuzi wa serikali yetu utaisha lini?
  5. M

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    kama hawakujifunza kutokana na mbagala ni wazi kwamba wameamua kuwatoa wananchi kafara kama nihivyo basi tuanze na mafisadi wote waliouhujumu uchumi wa nchi ikiwemo DOWANS RICHMONDS; na wngine wanaofanana nahao Iweje mabomu yame expire na bado yako kambini niwazi kuwa wote waliok kazini hawajui...
Back
Top Bottom