Search results

  1. N

    Ufisadi wa fedha za elimu bure wagundulika

    Kweli kabisa mkuu Nyani Ngabu. Huko ni balaa. Mwenzio yamenikuta kwenye shauri la mirathi.
  2. N

    Ludewa: Mgombea wa CCM, Deo Filikunjombe apita bila kupingwa

    Hapo kwenye nyekundu ndio panatia shaka. Mjanja mjanja tu.
  3. N

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mkuu Kashishi yetu; Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Sioni sababu ya tofauti hioi. Mkitaka Kura Niwape Ni Hadi Hapo MTAKAPOWEKA USAWA KATIKA MISHAHARA YA WAALIMU TULIPWE SAWA NA DAKTARI, MWAL WA DIGRII ALIPWE SAWA NA DAKTARI MWENYE DIGRII.HVY HVY KWA DIPLOMA.SASA HV MWAL MWENYE DIGRII...
  4. N

    Sikonge waandamana kupinga Said Nkumba kuchaguliwa na CHADEMA

    Kuna jamaa yangu yuko Sikonge alinieleze siku nyingi kabla ya kura za maoni CDM na kabla Nkumba hajahamia CHADEMA kuwa Nkumba hawamtaki wanamtaka kijana mmoja jina nimelisahau. Na ni kweli wananchi wamekuja juu kuletewa Nkumba. Pia amenieleza Nkumba amekatwa na kurudishwa huyo kijana. Hii ni kwa...
  5. N

    M/kiti wa UVCCM K/njaro aliyehamia CHADEMA, arudi CCM

    Tena kwa moto wa mabua. Chesea ingine sio moto.
  6. N

    Aden Duale: CCM Itadondoka kama KANU

    Hapo umemamliza kamanda. Moto ni moto tu.
  7. N

    Wamalawi washitukia Tanzania na maandalizi ya vita!!

    Ajabu. Halafu eti ndio viongozi wa nchi wanataka kuleta shida tu kwa watu wao.
  8. N

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Tena kwa radi katika kipindi cha kiangazi ambapo hakuna mvua. Chesea ingine sio wafipa.
  9. N

    Hukumu ya kupinga ubunge wa Aeshi Khalfan Hilal

    Ili uwe makini katika post zako zingine.
  10. N

    Je, Huu ndio mwanzo wa Mwisho wa Barcelona?

    Mkuu punaine-red. hapo kwenye red hata mimi naona ndio penye tatizo kwa Barca. Ukiangalia goli la pili la Ronaldo siku walipocheza na RM Ronald aliweza kufunga kwa sababu aliwazidi mbio mabeki wa Barca. Na sio kwamba Barca walizembea ku overcome counter attacks za RM.
  11. N

    Zitto usipeleke hoja Jumatatu; be strategic...

    Now, Kikwete akipenda just to outplay everybody atatangaza tu kuvunja baraza na akaunda baraza jipya chini ya PInda huyo huyo. Halafu itabidi ipigwe kura ya kumkubali kama waziri mkuu (namna nyingine ya kuwalazimisha watu kupiga kura ya kuwa na imani naye au la).. It is a war, na vita...
  12. N

    Peter Serukamba: Ole Sendeka 'huna sera kwa leo kaa chini'

    Kweli kila binadamu ana mapungufu lakini katika hili la kutafuna mali/rasilimali za nchi mmh!!!.
  13. N

    Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

    Bado uko usingizini. Ungekuwa macho ungejua kuwa kata ya Kiwira na Songea mjini vilivyokuwa chini ya madiwani wa CCM sasa viko chini ya madiwani wa CDM. Huko nako kaskazini? Single ya ukaskazini wenzio wamekwisha ichoka.
  14. N

    Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

    Mkuu Komeo uko sahihi. Angalia maneno ya Alphonce Mawazo. "Nataka kusema kuwa hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya CCM ambaye ana dhamira ya kweli ya kuwasaidia Watanzania na badala yake viongozi wengi wamekuwa wakijinufaisha wenyewe" Alphonce Mawazo, Diwani aliye achia ngazi Arusha.
  15. N

    Viongozi wa CHADEMA Taifa njooni Missenyi

    Safi sana Mr. Kibulala. Nina imani mtafanikiwa. Nashauri wasiliana na viongozi wa CDM ngazi zote hata kwa email au barua pia, ingawa humu JF huwa wanapitia.
  16. N

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Mkuu Kimbunga ni kweli inaweza kuwa silaha ya mwisho lakini aliyoyasema Igunga kwamba daraja litajengwa ktk miezi mitatu baada ya uchaguzi imani kwake imepungua kama si kutoweka kabisa. Na ukichanganya na masuala ya nyumba za serikali ndio kabsaaaa. Keshaingia kwenye longolongo ataendelea hivyo...
  17. N

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Kamjengea daraja la Mbutu.
  18. N

    Kishindo cha CHADEMA kuzidi kuiangamiza CCM

    Mkuu Ng'wanangwa, hili ndilo ninalo liona wanafanya. Na ni moja ya desturi zao ni mwiko kugombabana wao kwa wao.
  19. N

    Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    Sawa kabisa mkuu Fidel80. Hii itapelekea waache mchezo wao wa kutoa rushwa kununua uongozi.
Back
Top Bottom