Search results

  1. U

    Tuzo ya Mpoki

    binafsi nilishituka kama mpoki mwenyewe alivyoshituka sababu wimbo wenyewe wa shangazi siuelewagi na sijaona elimu tuliyoipata kutokana na huo wimbo zaidi ya misemo ya ya manzese na mbagala kwetu. Nikilinganisha na vibao weledi vya mjomba vyenye maudhui ya kuelimisha na kukuza kiswahili. Kuna...
  2. U

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    naungana na wewe kwa 120% jamaa anasema udini but ukimchunguza yeye ndo mdini, binafsi nimekuwa namfuatilia toka aingie bungeni 2005 his best friends wamekuwa hao jamaa. Tusifiche zitto na jk ndo wadini, kama wanabisha watutajie wadini ni kina nani..........
  3. U

    pinda apokewa na mabango yanayoishutumu CHADEMA

    Kadanganye Vihiyo wenzako, kila mwenye akili analijua hili haha wakati wa kampeni mlikuwa mnasafirisha watu kuja kwenye mikutano yenu ili mwonekane mnakubalika.................puuuuuuuuuuuuu, fyuuuuuuuuuu.
  4. U

    Ushauri Murua wa Makwaia wa Kuhenga kwa Kikwete!

    Makwaia namkubali sana huyu Mzee ni watu tunaowaita wenye uwezo wa kudhubutu. Angepewa nafasi ya Tiddo Mhando kipindi kile!!! duuuu! asingemaliza mkataba coz angeweka mambo yote hadharani bila upendeleo sasa angekuwa mbaya kwa mwajiri .....tetetteteteehhhhh
  5. U

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    We acha hizo nao wanaakili hawatadhubutu kwani Jay wa K anajua hatukumchagua na waTZ wameamka hawatakifuta na wakijaribu utaona waTZ wa 2010 - 2015 wakoje. Wee juzi January sukari 1kg Tsh.1400/= sasa Tsh.2000/= Sembe 1kg. Tsh.400 sasa Tsh.600 halafu wale wanaosema ukweli wafutwe Mtanzania gani...
  6. U

    Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

    bora nyie mumwambie sisi atasema tumetumwa, nilikuwa siamini kama ni kweli wengi wa jinsia yake walioko ssm ni chakula ya jaykey sasa naamini.................uffffff,puuuuuu!
  7. U

    Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

    Hata wakifanya kazi pesa/kodi zao zitanunua mashangingi na kulipia DOWANS. Sijui kama unalitambua hilo???
  8. U

    Makinda ahimize uwajibikaji badala ya kumwaga chozi la mamba......................

    Huyu BIBI NI MNAFIKI hamna lolote hapo. Angelia pia siku walipobadili kanuni ili kuweka mapandikizi kwenye kamati nyeti za Bunge. Mbona PM alipodanganya UMMA hakulia??? instead alikuwa mkali kama amekula KIJITI cha Mufindi. Siku ipo nayo yaja atatoa machozi ya ukweliiiiii.
  9. U

    Makinda amepewa escot ya polisi?

    kwa maandishi makubwa nakubali. Ukitenda dhambi au kushiriki kutenda au kufanikisha dhambi unakuwa na hofu. Bibi makinda ana hofu mbayaaaaaaaaa! Kama ulimwona baada ya kusema ushahidi uletwe kwa maandishi alikuwa anaongoza bunge bila confidence kabisa. Maana yake alikuwa nahofuuuuuuuuuuuu. Na...
  10. U

    Kikwete anamfahamu Al Adawi!

    JAMANI HUYU SI YULE ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI KWENYE MOJA YA CLUB ZETU AZA SOKO HAPA BONGO????? Niambieni sababu nimeshikwa na hasira mnoo! kama ndiyee.
  11. U

    Kikwete anamfahamu Al Adawi!

    Hahahahaaa, kweli Mkwere na Wenzake ni Normar. Yani baada ya kuona watu walivyokimbia kuokoa maisha yao Gongolamboto basi wakajua watu waoga. Halafu Jamaa kakimbia eti kwenye mkutano ili akija tukimuuliza aseme hata sijawahi kumwona. Mabomu sasa siyo issue tena Arusha nasikia wamepigwa tena...
  12. U

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    Mkuu nakuunga mkono kwa hiyo thred. Mi ilinigharimu nikaachwa ila nilisimamia maamuzi yangu na nikampata aliyenielewa na sasa Tunataka kwenda kutambulishana ili iwe wazi. NATURAL INAVUTIA BWANA. Halafu Mdada akiwa Natural anaonekana Kabinti muda mrefu mi ni Shahidi kuna mama ana miaka 50...
  13. U

    Sina heading ya kuipa hii ishu...

    Duniani kuna vitukooo.......
  14. U

    Wana jf hapo kwenye hii picha mnasemaje?

    Mwacheni Amiri Jeshi wetu apumzike...............lol. Alikuwa anatafakari NANI wamiliki wa DOWANS!!!!!!
  15. U

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mabomu ya Gongo la Mboto

    nimeipenda hiyo, "wabunge maslahi"
  16. U

    Bomu la CHADEMA kwa Pinda hadharani

    Umenigusa SUWI, BADO NAJIULIZA CHAMA HIKI HAKINA WASHAURI??????? IS THIS THE WAY OF RULING???? JE, WANAJISAFISHA AU NDO WANAJICHAFUA TENA KWA OIL CHAFU NA MADOA YASIYOTOKA?? WANAPASWA KUJUA THIS IS NEW ERAS KIZAZI KIPYA KABISA MIAKA 50 YA UHURU WA UPORA MALI ZA UMMA NA KUDHARAU WANACHI KWA...
  17. U

    Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

    AZA umenikumbusha Maji yalipowafika shingoni WANAKIJANI wakaamua kumtumia Shimbo kutishia wapigakura hasa wa Vijijini. Hapa ndo mahali pake na siyo siasa.
  18. U

    Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

    Nguo anazovaa na kununua huwa zina UPUPU kuanzia Mapajani kwenda chini so Tumwache avae. ''WAZAZI WAKE WAPO"?? WanaJF nijuvisheni!
  19. U

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Mzizi Hayo Maombi ni Mazito na yamefika kwa Allah, AMIN.
  20. U

    Maandamano ya Chadema yatishia Serikali ya CCM madarakani

    PINDA KUBALI MDOMO ULIPINDA NA MH: LEMA ALITAKA KUUNYOOSHA ILI UWE UNAONGEA VITU VILIVYONYOOKA. This ia New Generation Mzee! Hata watoto mliowasababishia Div.0 hawawaelewi.
Back
Top Bottom